Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kamanda chama letu vipi? naona board wamekubali kumuuza Cesc....pigo kwetu arifu.
BBC Sport - Arsenal board ready to sell Cesc Fabregas to Barcelona


Usijali mkuu, mbona mambo yenu mazuri sana, mnaongoza ligi mazee!!.....lol.

Teams P GD PTS
1 Arsenal 0 0 0
2 Aston Villa 0 0 0
3 Blackburn 0 0 0
4 Bolton 0 0 0
5 Chelsea 0 0 0
6 Everton 0 0 0
7 Fulham 0 0 0
8 Liverpool 0 0 0
9 Man City 0 0 0
10 Man Utd 0 0 0
11 Newcastle 0 0 0
12 Norwich 0 0 0
13 QPR 0 0 0
14 Stoke City 0 0 0
15 Sunderland 0 0 0
16 Swansea 0 0 0
17 Tottenham 0 0 0
18 West Brom 0 0 0
19 Wigan 0 0 0
20 Wolves 0 0 0
 
Nasri bado hajatia wino kule MANU anataka kuongezwa dau tu na AW kishaonyesha yuko tayari kumuongezea dau sasa kama SAF akiamua kulipandia hapo ndipo itakuwa kazi.
Ukumbuke Nasri ni kijana kutoka FRANCE so Mr Bean bora amuuze Fabregas ambakize kijana wake.Naamini Fabregas anaondoka but Nasri anabaki,Fabregas anataka kuondoka na Barca serious wanamtaka wakati Nasri anataka kuongezewa mshahara na sijaona timu inayomtaka serious
 
i think Manure have already done good signings, the best in EPL so far IMO
 
i think Manure have already done good signings, the best in EPL so far IMO

Dont lie to us ! Usajili timu zingine ziko makini zinasubiria, sisi Liverfool tuna kiungo Mshambuliaji Jordan Henderson kutoka Sunderland, Chelsea wao wameanza na Kocha.
 
Peasant unanivunja mbavu,nakuona Manda unachungulia


Hahahaha, mkuu hao jamaa ndio muda wao wa kujidai huu kwenye msimamo wa ligi, ikifika April kila mtu anajua nini kinafuatia.
By the way mkuu, hiyo signature yako nafikiri inahitaji updating maana nasikia kuna mwanasiasa hapo bongo kaiba jina la mtu, anajiita Andrea Kigwangala, kwa hiyo anadanganya jina si lake.
 
Hivi huyu mzee wenger mbona anatuzingua lakini, farguson ameshasajili wachezaji wa 3...yeye anasubiri nini!
 
Clichy na Nasri hao wanakwenda Citeh!! Safe to say Arsenal is a sinking ship?
 
Clichy na Nasri hao wanakwenda Citeh!! Safe to say Arsenal is a sinking ship?

Mkuu.....

With all due respect..............

Ni kwa nini mnaichukia Arsenal hivyo????....

Why Arsenal this......Arsenal that kila siku??......

Btw,binafsi sioni cha ajabu kwa Fabregas,Nasri wala Clichy kuondoka........Jiulize,wameifanyia nini Arsenal kiasi kwamba wakiondoka Arsenal watasikitika?,wameleta makombe?......Hapana................Waacheni waondoke tu waondoe Gundu(ashakum si matusi)....

Waliondoka Patrick Vieira,Mark Overmas,Emmanuel Petit,Nicolas Anelka,Thiery Henry,Edu,Hleb,Ashley Cole na wengine sembuse hao,Arsenal itabaki kuwa Arsenal bana............Kwanza huyo Fabregas huko Barca ataenda kucheza nafasi gani kwenye 1st eleven?

Ukweli ningependa sana kuona timu yote inafumuliwa na kubakiza wachezaji watatu(03),Robin Van Persie,Jack Wilshere na Thomas Vermaellen.....Hao wengine uharo tu na kocha wao AW........Watambae
 
Mkuu to be honest with you hakuna anayeichukia Arsenal hiyo notion ya kuwa mnachukiwa mnaitoa wapi? Au kuwa watu wanawatania kuhusiana na lack of trophies basi ndio mnaona ni chuki? Heck tangu 2002 tunaambiwa Man Utd inadecline. Nilivyouliza kama Arsenal ni sinking ship nilikuwa wanawatania tu.

Mtani huu ni utani tu, tunasogeza siku mpaka msimu mpya utakapoanza kwa sasa tutaendelea kutaniana tu unless wenzetu hampendi kutaniwa which is understandable.
 
Ukweli ningependa sana kuona timu yote inafumuliwa na kubakiza wachezaji watatu(03),Robin Van Persie,Jack Wilshere na Thomas Vermaellen.....Hao wengine uharo tu na kocha wao AW........Watambae


Jirani naona umewasahau Manuel Almunia na Sébastien Squillaci.
 
Hio pound Mil 20 man city wanataka kutoa kwa ajili ya Nasri wakati kabakisha mwaka mmoja tu; na kashaonesha nia ya kutaka kuondoka na kama hatuna uwezo wakumtimizia mahitaji yake ni vizuri kuchukua hela hio tukatafuta midfielder mwingine wa nguvu.
 
Manchester City are in discussions with Arsenal over the possible signing of France international defender Gael Clichy, BBC Sport has learned.
kweli Arsenal ishavurugika. Hivi Wenger ana mpango gani? Ina maana kale katoto(Gibbs) ndio kitacover gap la Clichy?
Wener should be sacked for his poor decisions on transfer market
 
Paranoia inawasumbua khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

kaka upo? kwema?

haya bana. karibu nitakuja funga gati tena hapa,
Sina presha wala nini na usajili msimu ujao,...ngoma yetu kubwa...

Unamuona Murray na Nadal lakini?
nashabikia Wimbledon mida hii...!

TAWIRE!
 
Back
Top Bottom