AhaaaaaKwakweli![]()
Iko wazi game za mwisho pep kupoteza ni ngumu mno na bado tuna gemu nao.Tukipoteza hapa tusitafute mchawi, kipara hapotezi hata game moja kuanzia J5 ijayo.
Kauli ni moja WATAPIGWA TU
Arsenal NDOO![]()
Nimemaliza kufuturu sasa nimetupia uzi wangu wa Arsenal naelekea banda umiza kuangalia mpira mzuri wa Arteta![]()
Habari za nyumbu zimeishia kwa Sevilla![]()
SawaTunaongeza utofauti kuwa points 7 leo
Should Arsenal win on Friday, they will confirm men’s UEFA Champions League football for the first time since the 2016/17 season at the club.
Hii timu usishangae hata hii mechi wasishinde.![]()
Bora diara wa yangaWe need a stopper, not Ramsdale