juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Naona pressure iko kwenu sasa,Daaah. Tukijikwaa kidogo humu hatupumziki. Ni kusagiwa kunguni mwanzo mwisho na kina Allypipi na kina flano. Acha nasi tusubiri na wao wapigwe tukeshe kwao [emoji1][emoji1]
Walikuambia wao wanashinda mechi zoteNarudia tena msemo wangu wa march, April ina games very tricky. Nikasema kutoboa April sio mchezo, wanazi wakapinga...well, tunaumia sote!
Mna mdomo sana ni heli man city habebe tu kombe mara 3 mfululizo kelele hawana sio nyie mna mdomo sana kuleni chuma icho[emoji16][emoji16]Daaah. Tukijikwaa kidogo humu hatupumziki. Ni kusagiwa kunguni mwanzo mwisho na kina Allypipi na kina flano. Acha nasi tusubiri na wao wapigwe tukeshe kwao [emoji1][emoji1]
Yaya sanogoAliesababisha penalty alikua Nani?
Ndio alitakiwa apige ile penalty sasa,Yaya sanogo
Nakumbuka MANCHESTER United waliwai kuwarudisha Ryan Gigs na Paul Scholz kama wakongwe baada ya kuwa wamestafuKuna muda ukifika ,arteta hana msaada Tena ,ila maturity ya wachezaji ndio inaamua ....
Game kama hizi za pressure kuziamua kama huna experienced player ambao wako mature ,hata kocha atumie malaika kutoa maelezo ,.....
Kuna tofauti ndogo sana kati ya utaahira wa kuwa Mshabiki wa Arsepimbi na Makolokolo na kuwa na akili.Tunamtaka Man City hata sshv maana Chelsea kashajifia [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
JESUS KASHINDIKANA
Ndoo ya maji labdaHii arsenal ya NDOO ni hatari Sana
2
[emoji91]
Acha matusi pimbi wwAndikeni maumiv huko mlipo umbwa nyie kmmk
Aya sawaAdebayor.... sometime anachemsha sana! kuna wakati najiuliza ni kwanini alinunuliwa!
Wapenzi wengi wa Asenali bado hatujamkubali kijana huyu!