Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]
Ona sasa
 
Arsenal ni disgrace. Unawezaje ku draw game uliyoongoza 2-0 wakati wewe ni title contender.

Hizo sio tabia za mabingwa. City ana kiporo kimoja. Race yenu imeishia hapa.

Save this
Naendelea kusisitiza. Huwezi ku draw game uliyoongoza 2-0 wakati wewe ni title contender.
Hii ilikua sign mbaya sana
 
Msimu huu excuses zilikuwa nyingi but team kudrop dalili zilianza mapema hakuna competition zote ambazo tumeshiriki tulifika quarter finals ni moja ya dalili ambayo niliiona but sikutaka kuamini but kumbe nilikuwa na mawazo ya ukweli unatolewa FA na Carabao (round za mwanzo) Europa (16 round) bado excuses zinakuja leo tumeanguka kama gunia la viazi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakikosa ubingwa Hawa arsenal Kuna vitu vifuatavyo vitatokea.Mashabiki watapigana sana Kila mtu akimlaumu mwenzake kuwa na matarajio ya kujenga angani .
 
Arsenyanyis ukizikuta zinavyodanganyana humu, unaweza kudhan wanacheza malaika.

Kumbe ni mid table iliyochangamka.

Arsenal karai la kokoto
Haaland kiatu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…