Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siku nyingine ya kufurahia Tetaball

Ukinuna uwe na sababu
20230410_182105.jpg
 
Ushindi wa leo siyo wa ubingwa

Ushindi wa leo ni kujihakikishia UEFA tu. Ushindi kwa ajili ya ubingwa bado.

Leo tukishinda spurs na brighton hawatoweza tena kututoa nafasi ya nne. Assuming tumepoteza mechi zote zilizobaki na wao wameshinda zote zilizobaki.

So leo ni kwaajili ya UEFA. Ikifika muda wa ubingwa nitawaambia
Saka anasema mechi ya city haitakua final ila ni semi-final
20230416_121022.jpg
 
Only 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.

Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.

Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.

Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them.
Hahaha THE BOSS unacheza chini ya kiwango.

Why do you have to mention Arsenal and Manchester city in your conclusion then? Si ungebakia tu unafanya analysis za hizo timu zako kubwa You guys are sick of Arsenal and City success
 
FRANSIS CAGIGAO: JINSI NILIVYOMPATA MARTINELLI

Na hamis77

Fransis Cagigao Skauti wa muda mrefu wa Arsenal ,amedumu kwa miaka 24 had mwaka 2020 alipoondoka Arsenal .Amefanya kazi na Arsene Wenger,Unai Emery na Mikel Arteta.

Huyu ndiye Skauti aliyewaleta Nyota wengi waliopita Arsenal ,

Kama ulikuwa hujui Basi hawa Nyota Ni Jicho lake katika kushawishi bodi na benchi la ufundi waletwe Arsenal

Wachezaji hao Ni Lauren Maya, Cesc Fabregas, Jose Antonio Reyes, Santi Cazorla, Nacho Monreal, Mikel Arteta, Emiliano Martinez, Granit Xhaka, Alexis Sanchez, Carlos Vela, Hector Bellerin, Robin van Persie

Mwisho kabla hajaondoka Arsenal akatuachia zawadi ya Gabriel Martinelli na William Saliba.


Leo nitaelezea jinsi alivyompata Martinelli katika kazi yake ya Skauti ,huyu alikuwa ndiye HEAD OF SCOUTING PALE ARSENAL

Huyu ndiye aliiambia bodi ya Arsenal itoe €30m kwa kijana mdogo miaka 18 ,William Saliba mwaka 2019 ,Bodi ya Arsenal ilisita Sana mwisho ilikubali ushauri wake


Leo nakuletea Simulizi jinsi alivyomuona na kumleta Gabriel Martinell ndani ya Arsenal mchezaji ambaye alikataliwa Manchester United mwaka 2018.

Anasema Francis Cagigao" Nilienda kuangalia mechi Hakuwa na mechi bora zaidi. Alitolewa baada ya dakika 70. Lakini hakuwa na hofu. Unaweza kuona kwamba ingawa mambo hayakuwa sawa kwake. Alikuwa akitengeneza nafasi, anakimbia , Alikuwa na mwendo kasi, ukakamavu - hangesukumwa nje ya mpira, hapo ana umri wa miaka 17. Ufundi wake haukuwa mzuri lakini alikuwa na sifa ambazo Nilisema: "Ninampenda. Je, tunaweza kumleta kwa mazoezi ya wiki moja Arsenal?"


. Ituano hawakutaka Martinelli aende kwa majaribio ya wiki moja huko Arsenal, jambo ambalo halikuwa la kawaida, kwani ada ya uhamisho kutoka kwa timu za juu za Ulaya kwa kawaida inatosha kwa vilabu vya Amerika Kusini kuwakaribisha vijana wao kwenye chumba cha kupumzika. Siku kadhaa baadaye, Cagigao alisikia kwamba Martinelli alikuwa ameenda Barcelona kwa majaribio ya wiki moja badala yake. ‘Nilifikiri ningempoteza,’ asema Cagigao. Kwa kupendeza, kwa mtazamo wa Arsenal, Martinelli pia angetumia wiki mbili tofauti Manchester United. Walimtuma apakie, pia Barcelona. Cagigao alikuwa amerudi kwenye ndege. Alikumbuka: ‘Niliwaambia maskauti wangu wote: “Wekeni kalamu zenu chini, nataka kila mtu anayemtazama mvulana huyu kwenye video.” Nilitaka kila mtu amuangalie , Kwa nini? Kwa sababu alikuwa mchezaji wa daraja la nne wa Brazil!

Tulikuwa na Kitengo cha takwimu na uchambuzi Arsenal lakini katika mpango huu wa kumsajili Martinelli, hatukufanya kazi na takwimu. Wakati wa kutathmini vipaji chipukizi, hakuna mbadala wa jicho la mafunzo, mchezaji wa zamani au kocha ambaye ana akili ya uchambuzi."

Sikutaka watu waseme: “Francis , umemtoa wapi bila kutushirikisha! Nini kinaendelea hapa?” Nilitaka niweze kusema: “Hapana, si mimi tu ninayesema.”’ Wakati huu ilikuwa mwendo wa saa mbili kwa gari hadi Ituano ambako Ituano anacheza. Uwanja si mkubwa ,unachukua watazamaji 18,000 na una paa moja tu. Hupati wanasoka wengi wa kiwango cha kimataifa hapa, ingawa Juninho wa Middlesbrough ni rais wa klabu na alianza katika akademi. Lakini hakuna hata mmoja wa wakubwa wa Sao Paulo ambaye alikuwa amemwona Martinelli pale Ituano.

Ila kwa sasa kila mtu alijua Cagigao kwa nini alikuwa huko. Rafiki wa familia ya Martinelli alikuwa ametoa nyumba yao kwa Cagigao kwa kikao na Gabriel na baba yake mzee Joao . Lakini alipofika Cagigao anakumbuka kulikuwa na maajenti wengine 10 ndani ya nyumba.

Nilisema: "Bila ushawishi wakuongea Basi nitajikuta narudi London peke yangu".

Mwishowe baba na Gabi walisema: "Tutazungumza peke yetu".

Sijawahi kuwa na mkutano na mchezaji na familia yake kwa kushawishi kama huo, tangu nilipofanya hivo kwenye kumleta Cesc Fabregas Arsenal akiwa na miaka 16.

‘Walikuwa watu wenye kipaji, wanyenyekevu, watu wa hali ya chini(masikini). Mtoto alikuwa mwenye akili, anayehusika kwenye kikao na msikilizaji mzuri. Baba alikuwa akisema: "Angalia Francis, ni maisha ya Gabi.

Gabi bora ajibu maswali mwenyewe kuhusu kwenda Arsenal. Sitaki aje akisema kwamba niliharibu maisha yake”. Na Gabi alitaka kuzungumza juu ya mpira wa miguu, mchezo wake. Alikuwa mwanafunzi anayeelewa haraka, ambacho ni muhimu siku hizi.

Mkutano juu kukamilisha dili ulinifanya nitoke nje na kumpigia simu Raul Sanllehi, ambaye wakati huo alikuwa mkurugenzi mkuu wa Arsenal] na kusema:

“Sina shaka. Kijana huyu atakuwa mchezaji bora. Hebu tumsaini kwa Hiyo Pesa”.

Ada ya £4m ilijadiliwa. Wakati Cagigao alikuwa amerejea London ilipanda hadi £6m

Arsenal ililipa £6m na Martinelli akajiunga Arsenal









IMG_20230416_133047.jpg
 
Brighton ndio timu bora kwenye build up EPL na DUNIANI kudadeki

Yule de zerbi aisee mi shabiki yake kitambo

Jana ziligawia pipi pale kati

Pumbavu sana wale watoto yule hawez kuendelea kufundisha Brighton wakati kuna wajinga wanafundisha timu kubwa kama TEN HAG na Lampard

Sasa pale walimkosa beki yao Levi colwill (loan kutoka Chelsea) kudadeki Chelsea wanabeki pale(Arteta alimtaka toka yupo academy Chelsea ,now mancty na Liverpool wanamtaka dirisha kubwa)

Kazi wanayo manake wanabadiashili
Nilikuwa doubt na caicedo ktk build up kumbe ameimprove sana Ukiachana na arsenal na City sasa hivi

Watafute Brighton uburudike Yule lewis dunk Southgate hamuitagi

Halafu anaitwa magwaya mara guehi

Dunk ni kama Holding,ana makosa mengi. Vifaa pale ni Mitoma Estupinan, Caicedo, March,McAllister na Sanchez
 
Hebu niambie, Newcastle plan not to extend Maximin contract after the end of the season,
Technically huyo dogo anakosa nini mbona namuona ndiye star pale Newcastle? I wish angekuwa kwetu asaidiane na flanks zetu. Is it for his injury record?
 
Mkuu Jana niliangalia hiyo mechi nikawaogopa Brighton, mpira wao Ni level nyingine kbsa ndo maana Pep amewaogopa
Brighton wakiwa on song ni hatari sana. Build up amazing na entertaining yaani unatamani mechi isiishe. Ila wasiwe wanacheza na timu yako, utatamani mechi iishe 1st half kama Chelsea jana. Diagonal balls to mitoma inapokelewa kama kapewa Kwa mkono halafu anateleza nao past 2-3 defenders kama hawapo vile
 
Gabby Agbonlahor claims Balogun is not Arsenal standard.

He said: “He’s[FB] done well in France, but I don’t think he’s Arsenal standard.”

“They’re[AFC] going to be in the Champions League next season, they need another proven striker to compete with Nketiah and Gabriel Jesus.”

“I don’t think Arsenal would use him next season if he came back. Him scoring goals in France has helped the club. Now they can put him up for sale and name their price.”

“It’s definitely a sale waiting for Arsenal to make.”
 
B

Brother, xG ya Leicester ilianza kupanda baada ya city kufanya sub kuwaingiza kina Philips,Gomez,palmer n.k
Hapo ndio Leicester wakapata pumzi ya kuanza kushambulia.

Do you think nanyie tutawawekea Sergio Gomez?
Kwani Sergio Gomez ni mchezaji wa timu ipi? Kwa hiyo akipangwa phillips inakuwa sio Man city ila akianza Rodrigo ndiyo Man city? Unazungumziaje Arsenal kumkosa Jesus, White na Partey mechi dhidi ya Man city, je ni halali na sisi tuseme ile si Arsenal sababu tulikosa wachezaji muhimu?
 
My remaining fixture prediction

Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves
Umeamua kumaliza mchezo kiroho mbaya.
 
Huyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate

Tutamfanya hamna hapo kwake


Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city

Nyingine na kiande yeyote

Uwezo tunao Nia tunayo

Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa

Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana


Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
Uzur tarehe 26 so mbali tuombe Uzima.. Kama kweli mtatufunga kwetu.
 
Zinchenko to miss Arsenal’s game vs West Ham this afternoon after picking up groin issue against Liverpool. Not thought to be serious but club choosing to protect him.

(@JordanC1107 )
 
Oleksandr Zinchenko has travelled with Arsenal to West Ham despite not being named in squad

(@SamBIitz )
 
Back
Top Bottom