Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lampard ana history nzuri Sana na Man city...ana rekodi nzuri sana..
Mechi ya Chelsea na Man city... inaweza ikawa draw au city kufungwa
Ndivyo ambavyo mnajazana ujinga hivi?

Kama historia ndio inacheza basi nikwambie tu huyo lampard si kitu kwa City.

LAMPARD VS CITY
1 win
1 draw
3 losses

Lete hiyo historia nzuri ya lampard kwa city.
 
refa alikuwa affected na crowd
 
Tottenham alikuwa anaongoza 2 mtungi pale Etihad,mwisho wa siku akapigwa 4-2 mechi ikaisha

Hawa hawa Liverpool walikuwa wanaongoza mabao 2 kwa 0 dhidi ya Madrid, I hope unajua kilichowakuta.
Key word 'tabia za mabingwa'
spurs na Liverpool hawakua title contenders kwenye hizo games umetaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…