Si kweli.Alivyokuwa kocha mwanzo ..
Aliwafunga city sana
"Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hiiLiverpool vs Arsenal NDOO
Liverpool wakiwa wanategemea historia ya uwanja Kama silaha yao kubwa,
Arsenal wanategemea kikosi kazi kiende kumaliza kazi mapema Sana kwenye huo uwanja
Liverpool ya sasa, timu yao imekatika sana
kuanzia walinzi, viungo Hadi washambuliaji
Majerui ya muda mrefu, na umri mkubwa wa wachezaji walio wengi
Wanawakaribisha arsenal iliyoimalika zaidi ya miezi sita nyuma
Arsenal ya Moto, high energetic, passionate na commitment ya hali ya juu. Ata wakitanguliwa goal ni ngumu kuwatoa mchezoni
Inabidi ujiandae muda wote utakimbizwa mchakamchaka
Ni mpuuzi pekee anaefikiria eti hii game tukishinda ubingwa ni wetu
Huko tulipotoka tumecheza game za kiroho mbaya sana ukijumlisha fitina za var kunyimwa hazi zetu
At this moment niambie Bora ukutane na Liverpool au Brighton/Newcastle/city?
Niambie Kuna beki gani pale wa Liverpool wakuweza kuwazuia saka/martinel/trossad/Jesus wakiamua kufanya Jambo lao?
Battle la kiungo: partey/odegard/xhaka
Huku zinchenko anakuja Kama inverted midfielder
Ndio kiungo Bora kwa sasa pale epl akitoka man city
Niambieni Liverpool anatokea wapi hapo
Forward line ya Liverpool mwenye uhai ni Salah tu, ambae nae anakabika kirahisi tu
Na kwa sababu Kuna partey mkata umeme watajikuta wanazurula tu
Liverpool ni wabovu walio mpiga nyumbu 7, coz nyumbu ni wabovu zaidi times 10
Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hii
Kwa maana anaweza akachakazwa nyingi
Liverpool atapaki bus Kama walivyopaki bus nyumbu
Lakini haitakua sababu ya kuwazuia watu niliowataja hapo juukabla ya viungo
Liverpool 0 vs arsenal 3 (wakipak bus)
Liverpool 1 vs arsenal 6 (wakitaka tupishane)
Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Nyumbu YUROPA
Totte nimewahi kuwafanyia roho mbaya back then msimu ambao Leicester alibeba ubingwa. Mind you ule msimu tulimaliza nafasi ya 15.We mwehu unapata wapi nguvu za kucomment humu ikiwa unatatuliwa na vijana wadogo kila inayoitwa leo?????????????
Weka msimamo...
Wasijiroge wakaleta mchezo wa kupishana
Leo kuna watu wazima watalala na viatu View attachment 2581897
Pale emarate walitupigia mpira mkubwa si tukakaa golini na bado wakafa tatu.Walitaka kupishana na Liverpool kimewaangukia kitu kizito. Wakajaribu kufanya hivyo Etihad na St. James' Park pia waone.
Uzuri wa hii mechi hamna mtu anapaki basi, hata mmoja awe mbovu vipi hakuna kuheshimiana njoo na mimi nakuja, ATTACK ATTACK ATTACK
Ndio maana #LIVARS ni FIXTURE yenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya EPL.
Tunatakiwa tuwe wazuri tukiwa na mpira na tunapokuwa hatuna mpira.
Mkuu trust me, Leo liver lazima akae nyumba
mashambuliz ya Liverpool huwa yanategemea Sana full backs ambapo ni AA na Robertson, na ndio njia za saka na martinel
Leo Liverpool akifunguka anakula mkono
Nimecheka Sana🤣Liverpool vs Arsenal NDOO
Liverpool wakiwa wanategemea historia ya uwanja Kama silaha yao kubwa,
Arsenal wanategemea kikosi kazi kiende kumaliza kazi mapema Sana kwenye huo uwanja
Liverpool ya sasa, timu yao imekatika sana
kuanzia walinzi, viungo Hadi washambuliaji
Majerui ya muda mrefu, na umri mkubwa wa wachezaji walio wengi
Wanawakaribisha arsenal iliyoimalika zaidi ya miezi sita nyuma
Arsenal ya Moto, high energetic, passionate na commitment ya hali ya juu. Ata wakitanguliwa goal ni ngumu kuwatoa mchezoni
Inabidi ujiandae muda wote utakimbizwa mchakamchaka
Ni mpuuzi pekee anaefikiria eti hii game tukishinda ubingwa ni wetu
Huko tulipotoka tumecheza game za kiroho mbaya sana ukijumlisha fitina za var kunyimwa hazi zetu
At this moment niambie Bora ukutane na Liverpool au Brighton/Newcastle/city?
Niambie Kuna beki gani pale wa Liverpool wakuweza kuwazuia saka/martinel/trossad/Jesus wakiamua kufanya Jambo lao?
Battle la kiungo: partey/odegard/xhaka
Huku zinchenko anakuja Kama inverted midfielder
Ndio kiungo Bora kwa sasa pale epl akitoka man city
Niambieni Liverpool anatokea wapi hapo
Forward line ya Liverpool mwenye uhai ni Salah tu, ambae nae anakabika kirahisi tu
Na kwa sababu Kuna partey mkata umeme watajikuta wanazurula tu
Liverpool ni wabovu walio mpiga nyumbu 7, coz nyumbu ni wabovu zaidi times 10
Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hii
Kwa maana anaweza akachakazwa nyingi
Liverpool atapaki bus Kama walivyopaki bus nyumbu
Lakini haitakua sababu ya kuwazuia watu niliowataja hapo juukabla ya viungo
Liverpool 0 vs arsenal 3 (wakipak bus)
Liverpool 1 vs arsenal 6 (wakitaka tupishane)
Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Nyumbu YUROPA
Ilikuwaje tena mkapaki?🤣🤣🤣Uzuri wa hii mechi hamna mtu anapaki basi, hata mmoja awe mbovu vipi hakuna kuheshimiana njoo na mimi nakuja, ATTACK ATTACK ATTACK
Ndio maana #LIVARS ni FIXTURE yenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya EPL.
Tunatakiwa tuwe wazuri tukiwa na mpira na tunapokuwa hatuna mpira.
Mechi ya jana ilikua ni ya wanaume waliochoka dhidi ya vijana masharobaro (wapaka poda)Nimecheka Sana
Umeona sasa viungo waliokatika walivyowapeleka moto
Historia ya uwanja je?
Usilinganishe City na vitu vya ajabu we kubali yaishe tu kombe linaenda Etihad.Hii game ya leo inaweza kua funzo kwa Arteta na wachezaji kua hatupo kwenye kipindi cha kumuogopa adui na kumsubiri aje
City tunaweza kumfunga