Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,906
- 7,125
Hii mbinu ya arteta hii roho mkononi sana. Ila ndo mechi za fainali hizi
Kabisa.Xhaka angepumzika aingie joginho
Wanakwambia liva wakitaka kucheza kwa kupishana watakula 6..cheki wanavyopumuliwa kisogoni.Pira biriani leo limegeuka kua ugali dagaa![]()
Muhimu 3points mkuu.Pira biriani leo limegeuka kua ugali dagaa![]()
Huyu Kiwior yupo vizuri?Hapo sawa, sub nzuri kbs hizi. Walau nguvu mpya sasa
At least draw ipatikane, Anfieldimekuwa sehemu ngumu sana kushinda kwa miaka mingi. Ila tunatakiwa kuweka walau gape ya 8points kama kawaida.@hamisi77 najua huko uliko umebana pumbu kama mimi nilimwambia hapo ni Anfield sio parahisi tusipopata positive results leo nzi watajaa humu ndani sababu ya uchambuzi wako
Hamis77 huko alipo kwanza naisi hata tv kazima yule.@hamisi77 najua huko uliko umebana pumbu kama mimi nilikwambia hapo ni Anfield sio parahisi tusipopata positive results leo nzi watajaa humu ndani sababu ya uchambuzi wako
Anfield huwa ni pagumu hamis77 huwa ana mapenzi ya kijinga sana hajaligi hali ya mpiraAt least draw ipatikane, Anfieldimekuwa sehemu ngumu sana kushinda kwa miaka mingi. Ila tunatakiwa kuweka walau gape ya 8points kama kawaida.