Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,485
- 2,752
Mechi ishakua ngumu second half umakini unahitajika zaidi mno
Mimi naenda na upepo wa mechi na matokeo.
2nd half tunarudi kivingine #YNWA. Halafu kumbe bado mna Newcastle away na hamjamalizana na Mitoma!?
Labda mliibe.
Hii Granit ubabebabe wake umetuponza angekuwa Jesus ndio kafanyiwa vile na TAA angegalagala mpaka VAR ingekuja kuamua,Trent amekua mgomvi mgomvi siku hizi
Msimu huu hakuna timu inayocheza na Arsenal halafu ikahigh press, umetaja viazi viwili ambavyo kimoja kilipasuka kilipojaribu kuhigh press na kingine kiliamua kupaki basi.Mimi naenda na upepo wa mechi na matokeo.
2nd half tunarudi kivingine #YNWA. Halafu kumbe bado mna Newcastle away na hamjamalizana na Mitoma!?
Labda mliibe.
Game management is poor.
Wote tumekuja na mchongo wa kumsubiri mtu ajichanganye kung'ang'ana na kumiliki mpira ila so far tusipobadilika jinsi tunavyokaba conservatively Liva akimiliki mpira anatufunga.
Silly mistakes za hapa na pale tunazifanya ambazo zinahitaji umakini ndiyo zinatusumbua. We have been brilliant in terms of attacking ila defensively hapana.
Kocha anatakiwa kubadili baadhi ya ishu. Hopefully Liva watakua tempted kukamia game baada ya hilo moja.
Big matches hua anakua na kimuhemuhe, pasi zake za mashakaBen White simuelewi elewi
Ni yeye huyu mkuu, alipita hapo liverHapana, itakuwa unasema Alberto moreno
Unaona draw hapo? Unadhani Chelsea hiiPengo la Saliba linaonekana
...hii mechi itaisha draw
Liver anapigwaPengo la Saliba linaonekana
...hii mechi itaisha draw