Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna wachambuzi Since wanafiki Sana ,mwaka Jana Conte walisema atagombea ubingwa msimu huu , dirisha kubwa kaongezewa Bissouma, Richalrson ,n.k January kaongezewa Porro kwa €50m, sababu ya mpira wake wa ovyo wale wale wachambuz wanasema Levy ameshindwa kumsapoti

Since 2020, #Arsenal have spent £391.5m; Spurs have spent £337.5m.

Spurs have also added Danjuma and Lenglet on loan, and Kulusevski and Porro on loans with obligations.

When they become permanent, they will have outspent us.

Levy backs managers; they just buy garbage.
Conte kafukuzwa siku ya birthday ya Arteta.

Yaani ukikutana na timu inaongozwa na kocha mzoefu na nyingine inaongozwa na kocha ametoka kua msaidizi ukimhofia mzoefu hatutashangaa. Isipokua Arteta tayari alishaonyesha brilliance ilikua ni drama kum-write off kwa mtindo huo.

Same defence tuliyoambiwa haifundishiki Arteta alimaliza nayo msimu ikiwa tatu bora ya defense. FA dhidi ya Chelsea iliyoonekana imekamilika CS dhidi ya Liva ya moto kabisa.

On top of that second round ya msimu uliopita Arsenal tulikua tupo kwenye tempo nzuri mno na ndiyo hiyo tukaanza nayo msimu.
 
Sasa Kuna wachambuzi Sababu ya maneno ya Conte ya kuji defence wanamuona kaonewa kufukuzwa ,huyu Conte kapewa Bissouma, Richalrson, Spence huyu kashindwa kumtumia kisa aliona Arsenal tumekuwa nae linked akaona atuvuvurugie ,kaishia kuua kipaji chake ,Richarlson ,Son, n.k wamekuwa butu

Ukweli unafichwa ule mpira wa Conte ni wa hovyo , utakusaidia miezi miwili mitatu utarudi kwenye default settings
 
Muda wowote Video team wa Arsenal wataachia Video na picha za Saka akiwa amesaini mkataba mpya

Bukayo Saka set to be the best paid player at Arsenal on £300,000-a-week with his new deal. All bonuses included.

(@SamiMokbel81_DM )
download.jpg
 
Muda wowote Video team wa Arsenal wataachia Video na picha za Saka akiwa amesaini mkataba mpya

Bukayo Saka set to be the best paid player at Arsenal on £300,000-a-week with his new deal. All bonuses included.

(@SamiMokbel81_DM )View attachment 2568052
Mmhh! 300k per week mbona nyingi sana kwa kijana mdogo.

Hii pesa haitamuathiri kweli? Ataweza kupambania badge kama kawaida?
 
Rio Ferdinand-

"No team will stop Arsenal next season if they will really sign RICE.I can see Champions League medal at Arsenal next season.Arteta was not made to be a Manager BUT was born a football manager."
 
Facts that we shall remind Arsenal fans over and over again. PART ONE..

By the age of 21 Marcus Rashford had already won a European Trophy.

At the age of 21 Bukayo Saka is the only "generational talent" in Europe top five leagues who has never kicked a Champions league ball.

PART TWO loading...
Screenshot_20230328-074815.jpg
 
Part 3

Rashford at 21 had already won a European trophy, scored in Champions league games.

Martinelli at 21 has never kicked a Champions league ball and is still yet to equal Mason Greenwood's career goals yet Greenwood hasn't touched the ball for 2 years.
20220517_082605.jpg
 
Part 3

Rashford at 21 had already won a European trophy, scored in Champions league games.

Martinelli at 21 has never kicked a Champions league ball and is still yet to equal Mason Greenwood's career goals yet Greenwood hasn't touched the ball for 2 years.View attachment 2568316
Paul Scholes

"To me Arsenal is a best team in the world.. Imagine they have managed to score 66 goal without a Halaand type of striker... City have score a goals more than them..

No one could expect them to have such dominance.They deserve distinction..I wish them to WIN the league without jealous...Arteta is really a best Coach in the world"
 
ila kiukweli inashangaza sana Kwa team kama Arsenal Kufunga goli 66 hadi saizi Kwa uchanga kikosi chao na ikiwa city ana goli 67

Kwa aina ya wachezaji alionao city, kwa ukomavu wao, Kwa ubora wao,Kwa uzoefu wao ni ajabu kidogo kuwa imemwacha Arsenal goli 1 Tu

Kama kuna watu wanahisi kinachotokea Arsenal eti ni upepo tu au Fluke basi wanakosea sana, maana msimu ujao Mabadiriko yatakuwa ni mengi

Kuanzia kwenye improvement ya wachezaji waliopo hivi sasa plus ongezeko la wachezaji wengine watakaokuja kuongeza ubora wa kikosi, kwahiyo Arsenal are there to stay
 
Partey felt something in his right leg during a training session with his country on Sunday. Sources close to the player insist it is not a hamstring issue and believe he should be fine for Saturday's game at Emirates Stadium.

(@charles_watts )
 
ila kiukweli inashangaza sana Kwa team kama Arsenal Kufunga goli 66 hadi saizi Kwa uchanga kikosi chao na ikiwa city ana goli 67

Kwa aina ya wachezaji alionao city, kwa ukomavu wao, Kwa ubora wao,Kwa uzoefu wao ni ajabu kidogo kuwa imemwacha Arsenal goli 1 Tu

Kama kuna watu wanahisi kinachotokea Arsenal eti ni upepo tu au Fluke basi wanakosea sana, maana msimu ujao Mabadiriko yatakuwa ni mengi

Kuanzia kwenye improvement ya wachezaji waliopo hivi sasa plus ongezeko la wachezaji wengine watakaokuja kuongeza ubora wa kikosi, kwahiyo Arsenal are there to stay
Na j2 game na leeds tutamzidi magori
 
Balogun atauzwa sion akibaki , mashabiki tusitegemee kumuona akirudi

Kuna CF huyu hapa Kutoka Atalanta tunamfukuzia kimya kimya

Arsenal would be willing to offer more than €50m (£44m) in order to win the race for Atalanta striker Rasmus Hojlund this summer. (CalcioMercato)
IMG_20230328_151143.jpg
 
Watu wa video muda wowote wataachia video na picha, nadhani wanasubiri muda muafaka

| Arsenal are “ready to announce” Bukayo Saka’s contract extension, as per @Journo_Slash. #afc
IMG-20230328-WA0000.jpg
 
Arsenal watafanya mazungumzo na Balogun na wawakilishi wake kuhusu mustakabali wake .

Arsenal wanaweza kuchagua kumuunganisha Balogun kwenye kikosi, lakini kutakuwa na kishawishi cha kumuuza sasa huku Bei yake ikitarajiwa kuwa nzuri. Arsenal wanawafatilia washambuliaji wengine kama Osimhen, Vlahovic na Rasmus Hojlund.

(@sr_collings )
 
Partey alihisi kitu kwenye mguu wake wa kulia wakati wa mazoezi na nchi yake siku ya Jumapili. Vyanzo vya karibu vya mchezaji huyo vinasisitiza kuwa si suala la msuli wa paja na wanaamini atakuwa sawa kwa mechi ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Emirates.

(@charles_watts )
 
Back
Top Bottom