why?Unajiongezea presha isiyo ya lazima...haya weee!!
why?
Mara moja moja kila nikiangalia ligi ya england nimependezewa na Arsenal na kuvutiwa nao.....ni timu ambayo ukiangalia unasikia ladha ya footie.....after some reseach sikuwa na sababu ya kuishangilia na kuwa mnazi wa Arsenal
Sikuwa mpenzi wa timu za England....ila sasa msimu ujao naanza rasmi kuishabikia Arsenal FC...Hodi hodi washabiki wa Arsenal
Broda niamini ni mara ya kwanza kushabikia timu za England....na nimechagua Arsenal haitaniangusha hata kidogo......hawa vijana sio wabaya niungeni mkono arifu.....Takwimu zinaonyesha mashabiki wengi toka Kenya wanaongoza kwa kufa gafla kutokana na mipira ya ulaya.
Kwa mtizamo huo kama unaroho nyepesi mi msimu ujao naandaa mchango wangu wa kukutuliza pindi mambo yatakapo kuwa mambo
Sikuwa mpenzi wa timu za England....ila sasa msimu ujao naanza rasmi kuishabikia Arsenal FC...Hodi hodi washabiki wa Arsenal
utajenga ri nchi gani weye? wenzako wanakula kiulainii....alafu mitanzania bana sijui ya wapi....
angalia hii picha
yaaani hii mijitu inagombana kisa timu za ulaya ambazo hawataki kabisa zishabikiwe na nyie weusi.....mitanzania bana
Broda niamini ni mara ya kwanza kushabikia timu za England....na nimechagua Arsenal haitaniangusha hata kidogo......hawa vijana sio wabaya niungeni mkono arifu.....
Akili zako kama za Nape Nnauye au Y makamba......nimesema nitaanza kuishabikia club ya Arsenal na si vinginevyoJuzi juzi ulisema watanzania wanagombana kwa ajili ya timu za Ulaya, sasa sijui hiyo Arsenal ni ya wapi!
Sina arifu....Mpwa una presha?
Sikuwa mpenzi wa timu za England....ila sasa msimu ujao naanza rasmi kuishabikia Arsenal FC...Hodi hodi washabiki wa Arsenal
Sikuwa mpenzi wa timu za England....ila sasa msimu ujao naanza rasmi kuishabikia Arsenal FC...Hodi hodi washabiki wa Arsenal
Wewe ulikuwa Arsenal ukakimbia baada ya kuona wanafungwa ,sema nimeamua kurudi ArsenalSikuwa mpenzi wa timu za England....ila sasa msimu ujao naanza rasmi kuishabikia Arsenal FC...Hodi hodi washabiki wa Arsenal
Karibu mpaka Ashgoton Groove Mkuu.