Natangaza rasmi leo kuuacha uraia wa Tanzania na kuwa Mkenya

Utakuja kuukana hata mwili wako na jinsia yako pia
 
kawasalimie mungiki...... tell them people of nyerere tunaishi kwa amani.....!
 
Kwani ulipokuwa Mtanzania ulikuwa na mchango gani kwa taifa hili zaidi ya kuwa mzigo? Tuna watu million 43, tungependa wapungue. Ni vyema ukaondoka na familia yako yote.
 
Utakuja kuukana hata mwili wako na jinsia yako pia
hawa ndio watanzania wenye amani na ukarimu walioachiwa na Baba yao wa taifa Nyerere..
Kwani ulipokuwa Mtanzania ulikuwa na mchango gani kwa taifa hili zaidi ya kuwa mzigo? Tuna watu million 43, tungependa wapungue. Ni vyema ukaondoka na familia yako yote.
U dunno me showty....
 
wewe ni kaburu tuu hatuwataki huku bongo. Hatutaki ukabila wala udini, lakini kikombe lete tuboreshe amani
 
Kumbe wengine humu ni people wa nyerere! mie simo. Nimetoka kwa udongo nitarudi kwa udongo, kama alivyorudi nyerere.
Na wewe huchoki kurukia thread za watu na hayo mambo yako. Watu wanakuchukia wewe unang'ang'ania tu!
 
Ok, wasalimie wakenya.. Sisi bado tunaendelea kupambana kuijenga Tanzania yetu.
 
Ok, wasalimie wakenya.. Sisi bado tunaendelea kupambana kuijenga Tanzania yetu.
utajenga ri nchi gani weye? wenzako wanakula kiulainii....alafu mitanzania bana sijui ya wapi....

angalia hii picha
216965_10150145191297606_537752605_6934892_3225837_n.jpg

yaaani hii mijitu inagombana kisa timu za ulaya ambazo hawataki kabisa zishabikiwe na nyie weusi.....mitanzania bana
 
... yaaani hii mijitu inagombana kisa timu za ulaya ambazo hawataki kabisa zishabikiwe na nyie weusi.....mitanzania bana
Kwa hiyo hao waliogombana kwa sababu ya timu za nje ndo wamekufanya uhame nchi? Haa haa haa! Si useme tu nyumba yako inabomolewa kupisha ujenzi wa miradi!
 
Back
Top Bottom