Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe ngoja tutawashangaza save hii comment
Mimi tangu mapema leo niliwaunga mkono mtufunge
Maana sitaki City achukue tena hili kombe
Ila mmetuangusha.

Ngoja tuone kama unavyosema,
Tuone mtushangaze Kwa kuwafunga City, tena kwao.
 
Timu yetu ya Arsenal bado ana mechi ngumu narudia ngumu 3 vs Manchester City, Newcastle na Brighton hizi akipata positive results tunakuwa tumemaliza mchezo nakukumbusha hamis77 ya Anfield imeisha tayari uwe sometimes unapenda kutuskiliza watu kama sisi usiweke sana mahaba Goodnight guys tukutane next week
Bora umemfunza huyo mjinga hamis77 Anaweza kuja hapa kusema asenane imecheza vizuri leo.
 
Arsenal are yet to face Chelsea & Brighton (home), and Man City & Newcastle (away), while Man City's biggest remaining fixtures are Arsenal & Chelsea (home).
 
Liverpool wakiwa Anfield ni tofauti kabisa, msimu huu kafungwa na Leeds tu akiwa home.

Huo uwanja mara kibao tu United tumeongoza ila zikifika dk 10 za mwisho lazima uache points.
Haaahaa jamaa zetu leo wamesakwa hadi wakawa wanapoteza muda.
 
1. Zinny
2. Ødegaard
3. Ben White

Hawa huwa wana-underperform kwenye big matches
Hai waliwahi kucheza wapi mechi kubwa? Ni haki yao kuogopa mechi kubwa. Mnaokota vitoto huko mnaita wachezaji wakubwa..pambaf
 
1681065023551.png
 
Bado chelsea, Man city, newcastle ,brighton,wolves,westham, nottingham forest


Kazi mnayooo...na mkilikosa mwaka huu msubiri tena mpk mama samia atoke madarakani
 
Arsenal are yet to face Chelsea & Brighton (home), and Man City & Newcastle (away), while Man City's biggest remaining fixtures are Arsenal & Chelsea (home).
Hivi unajua kua msimu huu city kadrop points kwa Forest na Brentford nyumbani kwake? Hivi nyie mnaangalia mpira Livescore?
 
Nawaambieni hili bus mlilopaki leo mtalikumbuka tu mwisho wa siku
Yaani litawacost
Kama mnabisha susbirini muone.
 
Presha ya kupata ubingwa ndio inayoanza kutuletea shida zile feeling zinaanza kutuathiri mind set zawachezaji zimeanza kuathirika.

Kwa jinsi liver walivyoipania hii mechi kwetu naona ni a point gain.kama kweli tunautaka ubingwa tunatakiwa kupata points 3 kutoka kwa City lasivyo ubingwa ni majaaliwa
Kama namuona KDB anavyokuangalia huku anasunya.
 
We unazani Liverpool ni sawa na leeds tushukuru hata tumepata point moja..hii
Wanasahau Man City hapo Anfield msimu kapigwa kidude, United kala wiki halafu kumbeni Liverpool mechi mbili za mwisho kaambulia point moja, leo tungeingia na mentality kama aliyo ingia nao United tungepigwa nyingi.

Anfield pagumu.
 
Back
Top Bottom