Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimeshuhudia mpira wa kipuuzi si mchezo.

Kati ya sisi na wao sisi tunauhitaji huu ushindi kuliko wao.

Lakini ni nani ameonyesha desire na passion? Wao

Nani alikua anakimbia kuliko mwenzake? Wao

Nani alikua anahakikisha loose space zote anakuepo? Wao

What the fvck is this? Timu siielewi inataka ikabeje, we are always present kwenye loose space leo instructions zilikua kupaki basi? We already have a lead ghafla mchezaji wetu akipata mpira humuoni kama ana hamu ya kusogea mbele badala yake unamuona anasimama anapunguza mwendo.

Na huu ndiyo uzoefu ambao City anatuacha nao.

Mid zetu zimepiga shots ngapi nje ya box? Forwards? This is bullshit
Leo timu imepaniki mno kuanzia ndani mpaka Arteta benchi.

Leo Attitude yetu imekua mbovu mnoo uwanjani, Second Half hatukueleweka Plan yetu ni nini.

Kupata Point 1 imekua bahati sana Liva walistahili kushinda.
 
Presha ya kupata ubingwa ndio inayoanza kutuletea shida zile feeling zinaanza kutuathiri mind set zawachezaji zimeanza kuathirika.

Kwa jinsi liver walivyoipania hii mechi kwetu naona ni a point gain.kama kweli tunautaka ubingwa tunatakiwa kupata points 3 kutoka kwa City lasivyo ubingwa ni majaaliwa
 
Nimeshuhudia mpira wa kipuuzi si mchezo.

Kati ya sisi na wao sisi tunauhitaji huu ushindi kuliko wao.

Lakini ni nani ameonyesha desire na passion? Wao

Nani alikua anakimbia kuliko mwenzake? Wao

Nani alikua anahakikisha loose space zote anakuepo? Wao

What the fvck is this? Timu siielewi inataka ikabeje, we are always present kwenye loose space leo instructions zilikua kupaki basi? We already have a lead ghafla mchezaji wetu akipata mpira humuoni kama ana hamu ya kusogea mbele badala yake unamuona anasimama anapunguza mwendo.

Na huu ndiyo uzoefu ambao City anatuacha nao.

Mid zetu zimepiga shots ngapi nje ya box? Forwards? This is bullshit
Wachezaji wetu leo hata kuchallenge kwenye duels walikua wanakaa nyuma

Upuuzi mtupu
 
Vituo vinavyofata....
IMG-20230409-WA0066.jpg
 
Presha ya kupata ubingwa ndio inayoanza kutuletea shida zile feeling zinaanza kutuathiri mind set zawachezaji zimeanza kuathirika.

Kwa jinsi liver walivyoipania hii mechi kwetu naona ni a point gain.kama kweli tunautaka ubingwa tunatakiwa kupata points 3 kutoka kwa City lasivyo ubingwa ni majaaliwa
Sioni Arsenal akipata 3 points Etihad SIONI may be DRAW reason kubwa ni EXPERIENCE itauma sana tushike nafasi ya 2 season hii,tutaenda Etihad tukiwa tumepaniki sana refer game vs Manchester City Emirates tukapaniki tukabamizwa for now on fans ,kocha na players wote tumepaniki mean tumeshapaniki kuanzia next Sunday vs West ham tutaanza kucheza kwa presha kubwa sana
 
klopp kajua kumsoma arteta mbinu zake.. kipindi cha pili liva kaizidi pakubwa tu arsenal.
 
Sioni Arsenal akipata 3 points Etihad SIONI may be DRAW reason kubwa ni EXPERIENCE itauma sana tushike nafasi ya 2 season hii,tutaenda Etihad tukiwa tumepaniki sana refer game vs Manchester City Etihad tukapaniki tukabamizwa for now on fans ,kocha na players wote tumepaniki mean tumeshapaniki kuanzia next Sunday vs West ham tutaanza kucheza kwa presha kubwa sana
Etihad tukienda hawa wachezaji watatu

Zinny, Ødegaard na White wakianza ni tushapoteza iyo mechi maana hawawezi kuhandle presha kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom