verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,127
- 6,179
Etihad tukienda hawa wachezaji watatuSioni Arsenal akipata 3 points Etihad SIONI may be DRAW reason kubwa ni EXPERIENCE itauma sana tushike nafasi ya 2 season hii,tutaenda Etihad tukiwa tumepaniki sana refer game vs Manchester City Etihad tukapaniki tukabamizwa for now on fans ,kocha na players wote tumepaniki mean tumeshapaniki kuanzia next Sunday vs West ham tutaanza kucheza kwa presha kubwa sana
Zinny, Ødegaard na White wakianza ni tushapoteza iyo mechi maana hawawezi kuhandle presha kabisa