Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,954
- 78,979
Inabidi tupoteze mechi mbili ili tutoke nafasi ya kwanzaTuwaombee Arsenal washinde leo ndugu zangu maana jukwaa letu la man u wenda likakosa wachangiaji kabisa.
Maana ndo wanamiliki jukwaa la man u kule wakichapwa kuwaona hapa Mpaka next week.