Pengo la Saliba linaonekana
...hii mechi itaisha draw
Washenz Hawa wanataka kutusagia kunguni tusichukue ubingwaLiverpool wamekamia sana hii game utafikiri wanachukua ubingwa
Hii mechi ni mgomvi mtupu kuna rivarly hapa tangu mechi ya kwanzaNASIKIA PIA KUNA KIJANA KAPIGWA FATAKI LA KICHWA ANATEMA DAMU
Odegaard leo kapoteaArteta afanye sub bado mapema.