Goli la mapema kama mechi iliyopita
Hapo ndio shida,kupata tena nafasi kama hiyo ni ngumu sanaJesus nini hapooooo?
Alikua Martinelli sasa hivi ndiyo JesusJesus nini hapooooo?
Achana na sisi wewe nyumbu fanya maisha yakoHahah! Arsenal kama mnaweza pigeni 7 wale walima matikiti.
Yani gemu ilishatulia upuuzi wake umefanya watu wame switch off tume concede goli la kizembe sana yaniXhaka nae atulie aachane na mpira wa kihuni.
Mimi naenda na upepo wa mechi na matokeo.Achana na sisi wewe nyumbu fanya maisha yako



Utawafanya hawa watu wasichoke kutuombea mabayaAchana na sisi wewe nyumbu fanya maisha yako