Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
4 of 4
Mkuu Saka ameshaisha, ni aibu hajadumu kwa muda mrefu kwenye kiwango. Wachezaji wa aina hiyo (left hand) chenga zao ni za upande mmoja wakishajuliwa na mabeki ndio basi tena.
Kazi inaendelea kwa SAKA thanks KimKim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu tumemkaribisha Kwa namna yake[emoji23][emoji23][emoji23] Arsenal ndio timu iliyoteuliwa kuwakaribisha makocha wapya kwenye Epl.
Naiwe hivyo.[emoji120]Mungu kaishaamua Arsenal awe bingwa
Aser8 msipochukua ubingwa EPL mwaka huu aisee mtasubiria miaka 20 mingine.
Pambaneni.
Ijapokuwa mnamweka Jorginho benchi mnakwepa kutuengezea pesa kidogo.
Acheni ubahili
Mechi ya kwanza tu kucheza akiwana jezi ya Arsenal alionyesha yy ni moto.Ila wakuu hapa Jesus inabidi apambane kweli kumtoa first XI maana moto anaouwasha Trossard sio wa kitotoView attachment 2558468