Endelea kuweka kambi upate burudani ya soka safi na mabaoCrystal palace anaweza kutupa ile kitu roho inataka, ngoja tuweke kambi.
Kitu gani.. labda awape mbupu!Crystal palace anaweza kutupa ile kitu roho inataka, ngoja tuweke kambi.
Mkuu Saka ameshaisha, ni aibu hajadumu kwa muda mrefu kwenye kiwango. Wachezaji wa aina hiyo (left hand) chenga zao ni za upande mmoja wakishajuliwa na mabeki ndio basi tena.
Things we like!
First player to reach double figures in goals and assist so farKuna mtu mzima flani Kutoka unyumbuni alikua anafananishwa na huyu kinda sijui anaitwa nani yule jamaaView attachment 2558219



mpaka sasa saka, martnelli, na odegaard wana magoli 34 ya kufunga nje ya assist zao...Kuna mtu mzima flani Kutoka unyumbuni alikua anafananishwa na huyu kinda sijui anaitwa nani yule jamaaView attachment 2558219
Ukiona Palace anaonewa lete wewe timu yakoAser8 msipochukua ubingwa EPL mwaka huu aisee mtasubiria miaka 20 mingine.
Pambaneni.
Ijapokuwa mnamweka Jorginho benchi mnakwepa kutuengezea pesa kidogo.
Acheni ubahili