Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Good morning league leaders

Tunakumbushana tu malengo yetu ni kushinda mchezo unaofuata, kukusanya alama za kutosha na kumaliza juu ya table kisha kombe tunaomba wapewe manyuu
20230319_210117.jpg
 
Tomiyasu atakosa mechi zilizobaki

"Pretty sure he needs an op (surgery) and his seasons done"

- @Teamnewsandtix on Tomiyasu
 
| Bukayo Saka:

“Hatuogopi mtu yeyote.

"Nadhani unaweza kuona jinsi tunavyocheza na hata walipokuja [Man City] na jinsi tulivyocheza nao"

"Kwa hivyo ndio, hatuogopi mtu yeyote.

Tutakuwa tayari.”
 
Tomiyasu atakosa mechi zilizobaki

"Pretty sure he needs an op (surgery) and his seasons done"

- @Teamnewsandtix on Tomiyasu
Lol.....tuombee waliopo wawe fiti, maana jamaa alikuwa msaada sana kwa backline yote.
 
Lol.....tuombee waliopo wawe fiti, maana jamaa alikuwa msaada sana kwa backline yote.
Ila Tomiyasu raundi hii ya pili simuelewi alikuwa anacheza nini.

Ame drop sana kiwango tofauti na alivyokuja.

Aliaminiwa mechi ya City tukamueka White benchi, mwishowe akaja kutuchoma.

Hope he come back stronger!
 
Hii ni kweli?
 
Hii ni kweli?
Limesaidia kiasi fulani kuondoa makandokando ya kina manjesta
 
Ila Tomiyasu raundi hii ya pili simuelewi alikuwa anacheza nini.

Ame drop sana kiwango tofauti na alivyokuja.

Aliaminiwa mechi ya City tukamueka White benchi, mwishowe akaja kutuchoma.

Hope he come back stronger!
tomiyasu ni mzuri zaid akicheza fullback ya kushoto.. ni back up nzur sna ya zinchenko.
 
Sasa nikwambie basi.. katika mechi 10 zilizobaki, Arsenal kazifunga timu 7 kati ya timu 10 walizocheza nazo kwenye mzunguko wa kwanza.

Sijui umeelewa? Rudia kusoma tena kenge wewe!
Matusi sio utamaduni wa mashabiki waastarabu hakuna sehemu yeyote niliyetumia lugha ya matusi. Inaonekana unamatatizo makubwa sana ya kimaadili na inaonesha umekosa malezi ya wazazi wa pande mbili.

Hata kama unatumia id fake jaribu kuwa mstaarabu ndugu matusi sio utamqduni wa wanamichezo. Mimi nimetoa maoni yangu sasa matusi na hasira za nini? Kwa hiyo wewe unategemea kuwa chelsea na liver watafungwa na arsenal mara mbili. Na pia mtawafunga man city? sawa kama ndio hivyo bas sawa but haikuwa na haja ya kumimina matusi.
 
Back
Top Bottom