Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

After Carabao, Wembley again for FA
Screenshot_20230319_222356_Instagram.jpg
 
Nakumbuka walisema walisha qualify round off 16 mapema sisi tung'ang'ane play offs na akina Barcelona aki naishiwa na nguvu
Nyumbu timu huna ,nawaona mkigombea kufuzu Europa

7+3hag ni kocha mjanja mjanja anayesubiri miujiza ,mfano leo vs fulham
 
Leo wakati natizama game ya Yanga kulikuwa na Game ya MAN U pembeni, kusema kweli MAN U sijui wanacheza mpira gani yaan mbovu mbovu na unatia kizunguzungu kabisa!!
wanakwambia kocha wao hajapewa watu anaowataka

Watu wake Sasa kina Anthony wa €100m
 
Kwa bahati mbaya timu anazozifunga arsenal kwa sasa ni zile zile ambazo huwa anazifunga kila msimu ijapokuwa round ya kwanza mwaka huu kidogo kaiproove kwa kuwafunga baadhi ya big four. Bahati mbaya waliyonayo mechi za mwisho mwisho watacheza na wanaume wa shoka ambao ndio wataamua ubingwa wao hivyo mashibiki muwe na tahadhari la sivyo watu wanaweza kuzimia.
 
Unajinyea wewe, amka ndotoni..
 
Sasa nikwambie basi.. katika mechi 10 zilizobaki, Arsenal kazifunga timu 7 kati ya timu 10 walizocheza nazo kwenye mzunguko wa kwanza.

Sijui umeelewa? Rudia kusoma tena kenge wewe!
 
Kwa bahati mbaya timu anazozifunga arsenal kwa sasa ni zile zile ambazo huwa anazifunga kila msimu ijapokuwa round ya kwanza mwaka huu kidogo kaiproove kwa kuwafunga baadhi ya big four. Bahati mbaya waliyonayo mechi za mwisho mwisho watacheza na wanaume wa shoka ambao ndio wataamua ubingwa wao hivyo mashibiki muwe na tahadhari la sivyo watu wanaweza kuzimia.
Nyumbu unaumia ukiwa wapi
20230319_202331.jpg
 
Niwe tu mkweli Arsenal tukipata hata draw tu naumwa maana sisi tumezoea kushinda tu

Nyumbu mnawezaje kuitazama mnavyobutua butua vile hakika mna roho ngumu View attachment 2558608
Pamoja na kubutua ila tumefanya haya.

Carabao cup tumeshinda

EPL. nafasi ya 3

FA semi final

Uefa ueropa quarter final

Haya tuludi kwako wewe wa kandanda Safi umefanya nini Mpaka Sasa.
 
Unajiongezea idadi ya mechi tu , ligi kuu EPL umeshaingia kugombea nafasi ya Europa League
 
Kwa bahati mbaya timu anazozifunga arsenal kwa sasa ni zile zile ambazo huwa anazifunga kila msimu ijapokuwa round ya kwanza mwaka huu kidogo kaiproove kwa kuwafunga baadhi ya big four. Bahati mbaya waliyonayo mechi za mwisho mwisho watacheza na wanaume wa shoka ambao ndio wataamua ubingwa wao hivyo mashibiki muwe na tahadhari la sivyo watu wanaweza kuzimia.
Team zipi hizo zilizo bakia mkuu?
 
Back
Top Bottom