Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Samahani, naomba niseme hauji mpira
 
Jana sikua nacheki mechi kuna eneo nilikua instead nikawa nacheki trackers za Fotmob na zilionyesha kama Vieira anastruggle katika kukaa na mpira na at the same time zilimuonyesha anapambana sana katika recoveries za mpira.

Physicality yake vipi wazee wa game ya jana?
 
Timu inavocheza na bingwa mtarajiwa inakawaida ya kupaki bas tofaut na midd teams ndio maana hadi mancity alicheza kwa kuvizia tukosee
 
Upande wa pili mwamba naye kachafukwa, kawageuza Westham uwanja wa mazoezi. Hii era ya Arteta & De zerbi
 
Kati ya hawa wawili nani kapelekewa
moto
View attachment 2537663
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…