Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Marefa hasa wa VAR Leo wamezingua Sana , Penalties 3 wanazipotezea

Swala la muda kwenda dk 97

Dk zilizoongezwa ni 6 lakn ndani ya dk hizo kama kumbukumbu zangu ziko sahihi dk 92/93 kuna mchezaji jina sikumbuki wa Bournemouth alijifanya ameumia, alikaa kwenye pernat box kupoteza muda takribani sek 45-60. Hii ndio sababu Refa alifidia muda huo ikafika 97.
 
Nilisema kabla ya 2nd half kuanza. Ile sub ya Trossard alipaswa aingie Nelson japo wote yeye na ESR walitoka majeruhi.
Trossard kaumia aisee

Ila Nelson ni vile alikuwa injury tu , ila ana potential kubwa

Arteta alisema watu wanamchukulia poa ila yeye anajua maana kipind anafundisha Arsenal U15 alimfundisha anamjua vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…