Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila VAR inatukandamiza matuta mawili tumenyimwa.Ile ya Orde tuta la wazi wale jamaa wa VAR hawakuliona au wanatufanyia makusudi.

Yule aliye shikari mpira kipindi cha kwanza mpaka watangazaji wakawa wanahoji mkono unaanzia wapi.
Ile nilivyoiona nikasema kama huyu hajashika anaeshika inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…