Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,523
- 2,251
Kwani Jogi anataka ujinga!Nadhani lile goli lilimkosesha usingizi jana
Huyu mtu si kwa mshuti ule.Kwani Jogi anataka ujinga!
Usiandike hivi the next day if you dont understand the meaning of defending.View attachment 2522910
Nyie mratukazia arsenal tu lakini tuna hesabu kali bado tutawapita kwa points za kutosha.Nyie ndo mjifunze kwetu sisi man City pamoja na kuanzia kupata goal lakini hata point moja hawakuondoka nayo ukaze sasa.
Endita kalesa mwene witu uwakwisachi masachi yonsi, ndimwakata.Posuta
Yes, ni mimi huwa namuona xhaka si mnyumbulifu.Pale kwa Xhaka panamshinda sikuiz, panamfaa zaid Fabio,
Kuna jamaa mmja humu aliwahi kusema Xhaka anacheza vizuri ila sio mnyumbulifu kama tukipata kiungo mnyumbulifu zaid Eneo lake tutakua bora zaid na zaid,
Jamaa anaujua sana.Huyu mwamba arudi tu.. Haya ndio mambo nketiah hana.
Huyu ndio alikuwa anamfanya martinelli anafanya vizuri upande wa kushoto.
Mwamba anashambulia kutokea kushoto, kati na kulia.
Kwangu naimani magoli yatakuja tu, ila mchango wake ni mkubwa saana kwenye matokeo ya timu.
Beki hazikai kwa amani.
Itakuwa siyo. Jamaa muhimu sana.Write your reply...Hivi Partey atakuwepo kwenye mechi ya Leicester au bado anauguza jeraha?
Bado hajaonekana kwenye training kwaio anaweza kuimiss iyo gameWrite your reply...Hivi Partey atakuwepo kwenye mechi ya Leicester au bado anauguza jeraha?
Kaka arteta on the wheel hawana cha kuhofiammeona UEFA kulivyo
Kuna tisha bobu,, daahmmeona UEFA kulivyo
Michezo ya wanaume hio, hawa wavulana msimu ujao wataendelea kubanana humohumo kwenye Europa.mmeona UEFA kulivyo
Basi icho kitu wengine tulichelewa sana kukiona broYes, ni mimi huwa namuona xhaka si mnyumbulifu.
Hivi wewe jamaa unakaaga kwenye jukwaa lako kweli?Michezo ya wanaume hio, hawa wavulana msimu ujao wataendelea kubanana humohumo kwenye Europa.
Uefa inahitaji wanaume waliokomaa Pumbuh sio hawa watoto wapaka poda.
Huku kuna mpira. Kule kwao wamejaa panya road na kawaida ya panya road ni kutangatangaHivi wewe jamaa unakaaga kwenye jukwaa lako kweli?