Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

D2C7BB47-6FA8-4876-BA76-C5178BE11648.jpeg
 
Dhuruma inayofanywa na bodi ya ligi ya England, kwa Team bora ya Arsenal ipo siku wata umbuka tu,,

Licha ya kufungwa na man city ila pia kuna jitihada nyingine zina fanywa nje ya uwanja,,
Ushahidi upo hii nayo ina ua morali ya team.

Ila fresh tu hata man city, man u, chelsea, liverpool, totnhum inshort zote zimepitia na zingine zinapitia hii hali.
Tuna rudi tena,, kuwashangaza
AC535D71-FBB5-4605-AECB-101189E18B6E.jpeg
 
Bado tuna mechi moja mkononi hata kama ni dhidi ya City au timu yoyote ila bado tuna kiporo tutarudi katika ubora wetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom