Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yani Martinel ni best goal scorer kuliko Rashford we kweli Arsenyeto
Mtu mwenye akili asingeweza kuwalinganisha Rashford na Martinell kwa upande wa ufungaji magoli.

Anatokea mpuuzi mmoja kudai Martinell ni bora kuliko Rashford kwenye swala la ufungaji, imenishangaza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oni topu ofu ze tebo
20230216_111037.jpg
 
Dhuruma inayofanywa na bodi ya ligi ya England, kwa Team bora ya Arsenal ipo siku wata umbuka tu,,

Licha ya kufungwa na man city ila pia kuna jitihada nyingine zina fanywa nje ya uwanja,,
Ushahidi upo hii nayo ina ua morali ya team.

Ila fresh tu hata man city, man u, chelsea, liverpool, totnhum inshort zote zimepitia na zingine zinapitia hii hali.
Tuna rudi tena,, kuwashangaza
 
acha kulialia wewe komamanga, penati yenyewe mmepewa ya mchongo alafu unaanza epl wanatuonea nyenyenye....
sie wenyewe tulipigwa goli la offside na manure ila tukatulia tu.

epl ndio walimwambia tomiyasu atoe pasi kwa kdb?

epl ndio walimwambia ramsdale adake mipira kama anadaba panzi?

Tumbili fc.
 
Arsenal hamuwezi kufika mahali mkiendelea kutegemea wachezaji wenu wa mafungu. EPL kuwa tu kwenye nafasi 4 za juu siyo kazi rahisi achilia huo ubingwa wenyewe.

Mfano mzuri ni nyie kushindwa kufuzu UCL tokea msimu 2016/17. Yani kwa miaka yote hiyo mlishindwa kikosi cha maana cha kuwaingiza top 4 tu.
 
Tuna maadui wengi ila naamini huu msimu ni wetu arsenal
Asiyekubali kushindwa sio mpinzani Leo tulikuwa kwenye pressure kubwa sana kitendo kilichosababisha Kutokee kwa individual errors nyingi sana...
Jorginho ni baller ila hatutamfaidi sabb arteta anamwamini shaka sana
#COYG
Sasa pressure na upo home tena Emirates. Je, sisi tunaoenda kucheza Camp Nou tusemaje?
 
Back
Top Bottom