Jana aliubonda haswa
Oya wewe chelityaakooo!!! Kwan uyo jorgii ni mchezaji wa timu gani sasa!??Wale wapuuzi waliolalamikia usajili wa Jorginho wako wapi? Mashabiki wa Arsenal ni watu wa ovyo sana. Jana alicheza football ya uhakika huku wale wachezaji wenu munaowamwagia radhi wakivurunda uwanjani.
Et uchunguz ulitoka kitambo mbona, hakukua na lolote baya kwa kujibu wa vyombo ya uchunguz EnglandHivi ile drama ya Magalhaes na Henderson imefika wapi
Nimeshangaa wamepost huo ujinga kwa IG yao [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hawa watu n special caseNimeshangaa wamepost huo ujinga kwa IG yao [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Unatabirije apo mkuu?
Arsenal atashindaUnatabirije apo mkuu?
Mechi za mapema nuksi saana
Early na late sizipend, tension inakuwa kubwa kwa wachezaj hasa wanaoogopa kupoteza zaidMechi za mapema nuksi saana