Huna unacho kijua,, we pambana kwanza kule chini,, alafu jana mpimwa umri, usisahau hili,,Muna kikosi kimoja tena cha kuunga unga munaleta masiara akishikwa Saka na Lokonga timu aman tena
Acheni kulialia njooni muone mpira wa watu wanaojielewaView attachment 2519629

mtapakatwa,, nyie jiandaeni tunakujaa kuwachangamsha,Ndugu yangu jana mmeshikiliwa 🤣🤣🤣🤣 ila Asenyani wameniweka bizee sijawatembelea huko.Mbona unitag kwenye hii sheree 😂😂😂😂😂
Labda ndoo ya batiHuna unacho kijua,, we pambana kwanza kule chini,, alafu jana mpimwa umri, usisahau hili,,
Arsenal ndoo
Halland kiatu
Imeishaje?Rashfoooorrd, CasemirooooView attachment 2519739
🤣🤣🤣🤣🤣Wameshinda
na njaa 🤣
Achana na sisi tunachechemea.. ila awa matakataka kwa jinsi walivyotusumbua na kakikosi kao kaa kuunga unga ndio najaribi kuwacheka kwanza hahaha 😂😂😂😂Ndugu yangu jana mmeshikiliwa 🤣🤣🤣🤣 ila Asenyani wameniweka bizee sijawatembelea huko.
Kwani manjestaa wamepakatwa na wao 😳😳😳Wameshinda
na njaa 🤣
Hawa Zuwena FC tunao hadi weekend 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Achana na sisi tunachechemea.. ila awa matakataka kwa jinsi walivyotusumbua na kakikosi kao kaa kuunga unga ndio najaribi kuwacheka kwanza hahaha 😂😂😂😂
NgumuKwani manjestaa wamepakatwa na wao![]()
Na nyie dawa yenu inakuja mmeanza kunenepa sasa hiviMlitegemea tufungwe ugenini![]()
Kwa uo mpira wenu mukikutana na hii chelsea mbovu munakaaNgumu
Fukuza chek noris yule anawacheleweshaKwa uo mpira wenu mukikutana na hii chelsea mbovu munakaa