Afadhali tumewafunga hawa watu maana tusingelala mpaka mwisho wa msimu.....
sasa tunasubiri mechi ya j2 kati yao na blues.....kimbembe
mmebahatisha na kubebwa kwenu...
Ila aaaaa.....hongereni bana...mmetuongeza machungu ya kumtafuna Chelski jumapili...
Soka sucks stms...
Watoto wa Wenger wa ajabu sana mechi zote mngekuwa mnajituma na kucheza kwa makini si tungekuwa mbali saa hizi.
Watani hongereni, you deserved the win maana we didn't show up.. Kama nilivyosema jana kwenye thread ya Man Utd I was wary of this game considering all the 3 UCL semi finalists lost their domestic games.
Again hongereni sana kwa ushind na kufungua title wide open.
mmebahatisha na kubebwa kwenu...
Ila aaaaa.....hongereni bana...mmetuongeza machungu ya kumtafuna Chelski jumapili...
Soka sucks stms...
nawaombea wote watoe draw mechi zao zilizobaki.Itakuwa poa sana kama Chelsea watacheza kwa kujituma sana na kuwaadhiri MANU pale nyumbani kwao Old Trafford, hata wakishinda kwa bao 1 watauchukua usukani wa EPL maana wao wana idadi kubwa ya magoli ya kufunga ukilinganisha na na MANU.
Haters where are you today? 🙂
kudoz the gunners!!..You deserved it today...atleast kocha AW nae kafarijika!!....
mmebahatisha na kubebwa kwenu...
Ila aaaaa.....hongereni bana...mmetuongeza machungu ya kumtafuna Chelski jumapili...
Soka sucks stms...
Duh,Bala ulipotea....good to have you back today....its time to celebrate!:smile-big:
Hahah mna kila sababu.Ahsante sana Mkuu leo wana GUNNERS tunakenua baada ya muda mrefu wa kununa kutokana na matokeo ambayo hatukuyatarajia
Asante sana, leo tumekusaidia kukuletea maiti yako nyumbani lakini pole sana hatutaweza kushiriki kwenye msiba loool.
kudoz the gunners!!..You deserved it today...atleast kocha AW nae kafarijika!!....