Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
angalia vizuri position ya refa na mshika kibendera kama wangeweza kuona lile tukio usilaumu tu
inamna mkuu kwenye replay ujaona umbali wa ule mpira na kichwa cha vidic kihasi cha kwamba kujua kwamba mshika kibendera kaona hakuna kitu kingine kingeweza kugusa ule mpira zaidi ya mkono wa Vidic?
sio issue kubwa manake ni kawaida siku hizi goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal