Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1676443709872.jpg
fundi amerudi 💪
 
Leo ndio ile siku ya Arsenyani kuvua koti rasmi na kuanza kupambania kubaki kwenye top4.

Ederson

Kyle Walker , Ruben Diaz, Aymeric Laporte

Bernado Silver, Kevin De Bruyne, Rodry, Ilkay Gundogan

Erling Haaland, Riyad Mahrez, Jack Grealish,

Substitutes:
Julian Alvarez, Phil Foden, Cole Palmer, Nathan Ake, Manuel Akanji, Sergio Gomez, Kalvin Phillips, na Rico Lewis

Nyie Kima leo mmekoswakoswa sana basi mmegongwa goli 3, tokea jana unaambiwa Haaland amegoma kula anashindia juice ya tende na Alkasus Mujarrab.

Arsenal Kondoo
Haaland Kiatu
Screenshot_20230215_094538.jpg
 
Smith inabidi aanze na trossad kule mbele teta awaamini tu
 
Arsenal atamaliza ligi akiwa na point 92.. atapoteza mechi nne na kutoka sare mechi tano. Mpaka sasa ameshapoteza mbili na sare tatu. Amebakisha sare mbili na kupoteza mbili.

Sasa kama kuna timu itaweza kuzidi hizo point basi itapewa ubingwa. Timu zinazoweza kusababisha arsenal akafungwa au sare ni Man City ugenini, fulham na liverpool zote za ugenini na brighton nyumbani.

Mashabiki wa arsenal waendelee kutembea kifua mbele.
Kijana umeongea maneno ya kufuru sana, nakushauri ufanye toba kwanza kabla ya kuandika comment nyingine.
 
Leo ndio ile siku ya Arsenyani kuvua koti rasmi na kuanza kupambania kubaki kwenye top4.

Ederson

Kyle Walker , Ruben Diaz, Aymeric Laporte

Bernado Silver, Kevin De Bruyne, Rodry, Ilkay Gundogan

Erling Haaland, Riyad Mahrez, Jack Grealish,

Substitutes:
Julian Alvarez, Phil Foden, Cole Palmer, Nathan Ake, Manuel Akanji, Sergio Gomez, Kalvin Phillips, na Rico Lewis

Nyie Kima leo mmekoswakoswa sana basi mmegongwa goli 3, tokea jana unaambiwa Haaland amegoma kula anashindia juice ya tende na Alkasus Mujarrab.

Arsenal Kondoo
Haaland Kiatu
View attachment 2518079
Yani wewe hujionagi km huna akili, obsession yako kwa Arsenal imevuka mipaka, toka msimu umeanza unandika ngojera zako lakini hujifunzi, City atafungwa leo kesho utaandika ngonjera tena, tushakuzoea km mwanamke vile.
 
Back
Top Bottom