Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mchezaji wa Sparta kajitangaza ni shoga
Bado tu ødegard kujitangaza
IMG-20230213-WA0232.jpg
 
Maombi mengi toka kwenu yanahitajika sana Ndugu zangu, tayari tumeshapoteza Dume lingine likiungana na punga lenzake lililojutangaza J3 wiki hii.

Mungu twakusihi utuokoe na hili pepo chafu la ushoga sisi na Watoto wetu, Amina [emoji26]
Screenshot_2023-02-13-23-31-39-30_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-13-23-32-25-47_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-13-23-32-35-30_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Uzi hautembei tena majitu yamejificha kwenye mashimo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Why do I smell fear among the individuals of this thread?
yani mnaongoza kwa pints 3 na mchezo mkononi lakini mmekaa kinyonge hivyo?
Wanasubili watufunge ndio waje kuandika paragraph humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanasubili watufunge ndio waje kuandika paragraph humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
They are bunch of cowards wanaoshangilia matokeo tu timu ikianza kuyumba yanajificha kwenye shamba la karanga🤣 yaani yanaongoza point 3 na mechi mkononi ila hayajiamini kuna yule Mjapan wa "Arsenal ndoo" "Haaland kiatu" naye haonekani🤣🤣🤣 hamna kitu hapa wapigwe tu🤣🤣🤣
 
Pep alikua anajibu swali kutofautisha uchezaji wa City na Wa Arsenal akasema City wanapitia katikati wakati Arsenal tunapitia pembeni na kweli tukiangalia timu yetu baada ya maneni yale timu kama zimetujulia zinakaa nyuma zinatuacha hasi kwenye final third wanakaba nafasi za pembeni mambo yanakua magumu kiukweli mechi ya kesho tubadilike tuliona mechi ya FA, AKE alikua anatembea na Saka angalau odegard akuwepo kwani wote huwa wanaenda pembeni waki alternate na kukabika inakua ngumu ila tusubiri tuone yote kwa yote Arsenal tutashinda mechi ya kesho
 
Mechi ya kesho tunashinda! Japo itakuwa mechi ngumu sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom