Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona chama Cha marefa kimekiri kuwa wametufanyia umafia sana na kutudhulumu points Kwa VAR
 
Screenshot_20230213-084406.png
 
Huyu Ramsdale nae ana papara sana. Ajifunze basi hata kutoka kwa kipa wa Liverpool. Huyu jamaa nae amesahaulika tu ila ni mtu mwenye papara sana na anatugharimu sana.
Pamoja na kufungwa na Brentford hilo goli la offside lakini kipa mwenye mahesabu mazuri hauwezi kutoka tu golini bila kua na uhakika kama ule mpira utaukamata au lah. Alitakiwa akitoka awe na uhakika wa kukamata mpira au kutoa nje na sio kutoka kama alivyotoka yeye kizombi zombie
 
Na siku ile ya Manure alimzawadia goli Martinez.
 
Mshaanza kulilia VAR, mngeshinda basi goli mbili ili na hilo la VAR iishe mbili moja. Mnatafuta huruma za VAR vilaza nyie, mkimaliza nafasi y tatu mniite mbwa. Nimekaa pale.

#Ass anal simtenk
#Halland kiatu
 
Jumatano Arteta na Kima zake zinaenda kutema ndoano, baada ya hapo ni kuandaa tu popcorn huku tunazicheki kima za humu ndani zinavyotukanana zenyewe kwa zenyewe
Screenshot_20230213_140936.jpg
tapatalk_1010475978_500x494.jpg
 
Huyu Ramsdale nae ana papara sana. Ajifunze basi hata kutoka kwa kipa wa Liverpool. Huyu jamaa nae amesahaulika tu ila ni mtu mwenye papara sana na anatugharimu sana.
Pamoja na kufungwa na Brentford hilo goli la offside lakini kipa mwenye mahesabu mazuri hauwezi kutoka tu golini bila kua na uhakika kama ule mpira utaukamata au lah. Alitakiwa akitoka awe na uhakika wa kukamata mpira au kutoa nje na sio kutoka kama alivyotoka yeye kizombi zombie
Yule kipa wa marekani yupo vizuri akiboresha footwork Ramsdale anamtoa golini
 
Yule ni kipa mzuri tu hata footwork yake ni ya hali ya juu sana, mechi zote za marekani kombe la dunia footwork yake ilikua nzuri na ya ubora wa hali ya juu sana,, hata mechi za EUROPA kacheza vzr mno, Arteta hua hana mchezaj wa kudumu kama hafanyi kazi yake ipasavyo, kama ataendlea na anachokifanya tutalajie mabadiliko tu,
 
Back
Top Bottom