Mkuu naipata wapi hiyo documentaryKama umeiangalia documentary yetu ya All or Nothing utakubaliana na mimi kwamba ilibidi iendelee na msimu huu
Kuna site inaitwa watchsomuch inayo isipokua mimi sina code ya kudownload vitu mule so nilimuomba rafiki yangu anidownloadieMkuu naipata wapi hiyo documentary
Huyu nketiah hawezi kupush na kupambana katika mechi nguvu [emoji26]
Ollashoga mpo nafasi ya tisaHili genge limeanza kukata moto
We mbwa dadamlamayao msimamo huowewe na ARV ni miongoni mwa MACHOKO mliopo JF,hebu wekeni msimamo la Ligi kabla hamjaenda kuzibuliwa mitaro yenu hiyo
Tuma tena msimamo we bibiWe mbwa dadamlamayao msimamo huoView attachment 2515042
Game ya City wacheze Martinelli na Trossard pale juu, uyu atokee subHuyu dogo anatupa false hope, summer aondoke tu huwa tunategemea akifunga basi kujiaminii kunaongezeka na accuracy iongezeke ila sasa yeye akifunga leo game inayofuata ndo anachoma kabisa