Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Pep alikua anajibu swali kutofautisha uchezaji wa City na Wa Arsenal akasema City wanapitia katikati wakati Arsenal tunapitia pembeni na kweli tukiangalia timu yetu baada ya maneni yale timu kama zimetujulia zinakaa nyuma zinatuacha hasi kwenye final third wanakaba nafasi za pembeni mambo yanakua magumu kiukweli mechi ya kesho tubadilike tuliona mechi ya FA, AKE alikua anatembea na Saka angalau odegard akuwepo kwani wote huwa wanaenda pembeni waki alternate na kukabika inakua ngumu ila tusubiri tuone yote kwa yote Arsenal tutashinda mechi ya kesho
yaani yanaongoza point 3 na mechi mkononi ila hayajiamini kuna yule Mjapan wa "Arsenal ndoo" "Haaland kiatu" naye haonekani