BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,169
- 2,487
Sawa.Ongeeeni ila ubingwa sahauni.
Sawa.Ongeeeni ila ubingwa sahauni.
Time will tell.Endelea kuota
Gary Neville.Ubingwa wanachukua Manchester United.
CryNimekuja kugundua Pep alikua analiwa maji taka na Arteta wakati wapo City. Anajaribu kumkingia kifua bwana ake msengenywaji yule, kulikua na ulazima gan De brune kuanzia bench, na yule takataka Grilish kumaliza dk.90
Nilishawaambia mapema kwamba hiyo mechi hawatashinda wakanibishia😂city kapigwa mkuu, hatujaharibu kitu
Kwa hiyo unataka kutuambia una akili kumliko Guardiola? Mbona KDB ameingizwa dakika ya 60, dakika 45 zilitosha yeye kuleta mabadiliko mliyoyatakaNimekuja kugundua Pep alikua analiwa maji taka na Arteta wakati wapo City. Anajaribu kumkingia kifua bwana ake msengenywaji yule, kulikua na ulazima gan De brune kuanzia bench, na yule takataka Grilish kumaliza dk.90
Labda muibe.Ubingwa wanachukua Manchester United.
Unajua akili za anayeota huwa anaona watu wengine wote ndio wanaoota sio yeye. Played 21 bado wako points 8 nyuma. Lost mechi 5 already, kiilivyo huwezi kupata ubingwa kwa kupoteza mechi 5 mkuu na bado kuna mechi za Europa ambazo zitawatibua form, bado watapoteza mechi katika ligi, so endelea kuota. Miujiza hutokea!Endelea kuota
Hawana akili haoUnajua akili za anayeota huwa anaona watu wengine wote ndio wanaoota sio yeye. Played 21 bado wako points 8 nyuma. Lost mechi 5 already, kiilivyo huwezi kupata ubingwa kwa kupoteza mechi 5 mkuu na bado kuna mechi za Europa ambazo zitawatibua form, bado watapoteza mechi katika ligi, so endelea kuota. Miujiza hutokea!
Unajikojolea kitandani mkuu.. amkaa!Time will tell.
Tungeshinda jana daaah...Arsenal tusipobeba ubingwa mwaka huu litakuwa jambo la kusikitisha sana. Everything is working to favor us.
Mngeshinda na city angeshinda.Tungeshinda jana daaah...
Kaa kwa kutulia. Enjoy show mpaka mwisho.same here .View attachment 2507767