Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Katika wachezaji ambao nikiwaangalia naamini walipaswa kuimbwa sana, ila kwa sababu kadhaa hawapewi sifa hizo..
Mmoja wao ni son, mkorea huyu anajua saana boli.. Pale EPL anacheza timu yoyote ile, tena kikosi cha kwanza.
Ila ndio hivyo Tena yupo Tottenham, umri ushasogea, atasahaulika mapema au utokuimbwa inavyopaswa akistafu.
Son na Kane wangekuwa hawapo Spurs, hiyo timu ingekuwa ni timu ya kushuka na kupanda daraja kama akina Fulam, Norwhich city
 
Arsenal tusipobeba ubingwa mwaka huu litakuwa jambo la kusikitisha sana. Everything is working to favor us.

Mtoto yake Nepi ni suala la muda tu nyie kuachia nafasi ya 1 na kurudi ya 3 [emoji23][emoji23]
 
Harry kane, die hard Arsenal fan, the record breaker.
IMG_20230206_104707.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom