jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,241
- 12,737
Hizi ndio shida za kufatilia mpira umesha zeeka. Wala sikushangai kwa ulicho kiandika. Kukariri kwingiOn majinga haya..yani classy ya Jorginho unalinganisha na huyo mrugaruga?? Huyu bingwa wa ECL unamlinganisha na huyo hajawahi kushinda chochote toka dunia imeumbwa.

