Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,902
- 1,711
itathibitika kafanya nini sasa mbna taarifa zipo nusuKinachoweza mkuta Manchester city kama itathibitika ndivyoView attachment 2508533
itathibitika kafanya nini sasa mbna taarifa zipo nusuKinachoweza mkuta Manchester city kama itathibitika ndivyoView attachment 2508533
Nimeuliza tu ikiwa yakiwakuta kama ya Juventus waliokatwa pointi kwa kukutwa na hatia ya kukiuka FFP.Kwa nini wapunguziwe ?
Hatoonekana hadi timu ishindeAaron Arsenal hajapata simu bado? Naona jukwaa halina taarifa hili ni shobo tu za flano na genge lake.
Acha maneno bana, mwamba kaibiwa sim.Hatoonekana hadi timu ishinde
Adhabu ziko tatuKuna hatari ya City kupunguziwa points?
Mkuu karibu sana naona umekuja na ID mpya ujapata simu tu.Kinachoweza mkuta Manchester city kama itathibitika ndivyoView attachment 2508533
[emoji599] Anthony Taylor appointed the referee for Arsenal - Man City game at the EmiratesView attachment 2508842
Anatoa kadi huyo si mchezo.Huyu uwa tuna bahati naye
Jibu zuri sana hili.Mngeenda nyie kumnunua
Kwa vipi mkuu, fafanua.Arsenal kinachowapoza ni kiburi😅😅😅😅
Msiba unahamia kwenu leo mataito kontendazToka mzibuliwe na Everton pamepoa sana hapa ndani.
Kwa mujibu wa Gary Neville wanachukua ndoo.Msiba unahamia kwenu leo mataito kontendaz