Arsenal (The Gunners) | Special Thread

onana mvunja kuni leo kawavunja moyo
 
Wanaume rasmi wa arsenal ni man utd na everton ya sean dyche
Muda si mrefu city atawapiga nje ndani title contender wa nioko
Umeshasahau kwamba wanaume rasmi wa Man City Ni Brentford
 
Amina tuko pamoja wazee wenzetu wa London, tatizo mna Mashabiki wenzenu mapimbi wanakuja kututukana kwenye nyuzi zetu bila sababu zozote za misingi.

Wana Chelsea tunawatakia kila la heri kuhakikisha mnabeba ubingwa wa EPL 2022/2023.
Hawa mbanga siyo wa kuwatakia mema kabisa..awa wacha waliwe tu kiboya boya maana kushindwa kwao tumechi tuwili tutatu kumewapa kiburi chakujiona wanna timu bora kumbe wanna kikosi kimoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…