Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwenye picha ya ONANA
samahani lkn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🫣🫣🫣
Onana mtu kazi.
Hii sura wala nauli wakikutana nayo tu wenyewe wanajua kabisa leo shughuli yake sio ya kitoto.
Screenshot_20230204_202359.jpg
 
Nikimuona shabiki wa Arsenal analalamika na mshangaa na hajui tuliyo yapitia.Huu mpira na hii ndio ligi ya Uingereza, kwangu tupo vizuri cha msingi kujipanga kwa mechi ijayo.
 
Kwani Conte Ana Nini mpaka asiwepo kesho ama kashapigwa kalamu?
Hapa ndiyo tunahitaji great xcter than ever.

City will stop at nothing. Spurs kesho haitakua na kocha wake.

You can guess
 
THREAD imevamiwa si kitoto watu wamemiss Arsenal kuona ana lose game[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We're looking forward to the next game very positively with a winning mentality.
tupate kuwaskiliza wadhamin [emoji445] beiby onanana onananana onanananana beiby onanana beiby onananana[emoji445][emoji444]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom