Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Saa nyie mambanga munategemea kubeba kombe gani msimu huu 🤣🤣🤣 maana EPL na EUROPA ambebi 😂😂😂

Kama adi wale man shitye wanawalambalamba kwenye FA wapi pengine munatokea?!
 
Pamoja na kuwa tunamtaka Caicedo, itachukua muda kupata mtu wa aina ya Partey. Tom, pamoja na janga lake la majeruhi, ni kiungo aliyekamilika. Ana uwezo Mkubwa wa mpira.

Ana uwezo wa kudictate midfield na kucheza kama anavyotaka yeye, na ana akili kubwa na utulivu anapokuwa na mpira.

Tom ana kitu tunachokiita Defensive Discipline, anajua wapi nipite na mpira na anajua wapi nipitishe mpira badala ya kwenda nao. Anajua wakati timu pinzani imekuja juu, kwamba afanye nini kurudisha mpira uwe katika hali ya kawaida.

Ana uwezo wa kupiga mashuti, na ana uwezo Mkubwa wa kupiga pasi. Anajua hii pasi sikupi wewe kwa sababu Fulani, Nampa Fulani kwa sababu Fulani...yaani haachii pasi ovyo.

Kwa neno moja tunasema ana High Maturity.

IMG_20230121_204259.jpg
 
Gabriel Martinelli amesaini mkataba mpya wa miaka minne na nusu wa kuendelea kubaki Arsenal.

Mkataba wake wa mwisho ulibaki mpaka 2024 huku Arsenal wakiwa na chaguo la miaka miwili mingine.

Mkataba mpya upo kwenye hatua za mwisho za kukamilika na Martinelli atabaki Arsenal mpaka majira ya joto ya 2027.
IMG_20221201_160908.jpg
 
Pamoja na kuwa tunamtaka Caicedo, itachukua muda kupata mtu wa aina ya Partey. Tom, pamoja na janga lake la majeruhi, ni kiungo aliyekamilika. Ana uwezo Mkubwa wa mpira.

Ana uwezo wa kudictate midfield na kucheza kama anavyotaka yeye, na ana akili kubwa na utulivu anapokuwa na mpira.

Tom ana kitu tunachokiita Defensive Discipline, anajua wapi nipite na mpira na anajua wapi nipitishe mpira badala ya kwenda nao. Anajua wakati timu pinzani imekuja juu, kwamba afanye nini kurudisha mpira uwe katika hali ya kawaida.

Ana uwezo wa kupiga mashuti, na ana uwezo Mkubwa wa kupiga pasi. Anajua hii pasi sikupi wewe kwa sababu Fulani, Nampa Fulani kwa sababu Fulani...yaani haachii pasi ovyo.

Kwa neno moja tunasema ana High Maturity.

View attachment 2498873
Mbona Caicedo ni direct replacement ya Partey, naposema direct naomba nieleweke.

Ila wengi mnamisplofile Caicedo, bado namuona km LCM, acheze role ya Wijnaldum liverpool nyuma akiwa a tall guy Fabinho, ni kama Caicedo nyuma akiwepo a tall guy Declan Rice.
 
Back
Top Bottom