Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

League leaders Arsenal loses to relegation battling Everton.
20230204_163857.jpg
 
Hukudanganya mkuu, hizi mechi za saa sita zinamuwaga ngumu Sana kwa timu kubwa
Nilisema haya maneno kabla ya mechi !!!

Top six sijui tuna gundu, mechi za mchana sio rafiki kwetu !

Timu mliyocheza nayo ina kocha mpya vijana Wana morali !

Anyway tumepata jinga la wiki !!!!

Granit, martineli, ben white na ode naona kiasi wamewaangusha, hawakuwa na game nzuri !


Nilifikiri angemtoa Granit aingie jorg lakini kamtoa partey , anyway kocha na benchi lake wanajua kuliko sisi !
 
Arsenyeto wamelowa wamelowa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi kama man City tunasema hvi arsenyeto nitakukandamiza mechi zote mbili
Arsenyeto hii ndyo tunayoijua sasa
Next match Brighton vs arsenyeto [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Aaron, Computerarsenal, Castry karibuni tupeane moyo Wakuu maana nawaheshimu sana kwa ushabiki wenu uliostaarabika tofauti na hawa Mashabiki Vilaza [emoji116]

Malcom Lumumba kapotelea wapi na yule Dully Jr ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom