Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,257
- 76,834
Sasa tuanze kuipata habariKwa msimu huu Arsenal kuifunga Everton siyo habari. Habari ni Everton kuifunga Arsenal, alichokifanya Lampard kwenye hii timu ni miyeyusho
Sasa tuanze kuipata habariKwa msimu huu Arsenal kuifunga Everton siyo habari. Habari ni Everton kuifunga Arsenal, alichokifanya Lampard kwenye hii timu ni miyeyusho
Nakazia.Everton moja kwa moja mbinguni
Ngoma ya vijana haikeshiEverton moja kwa moja mbinguni
WachaaaaHili goli linarudi dakika za mwisho
Endelea kuota na jojino wakoHili goli linarudi dakika za mwisho
Acha kupotezea, tupeni ripoti ya JorginhoChelsea spent a record £272 million during the 2022 summer transfer window, making it the biggest single market from an individual team in the history of the game.....na ni midtable team,kama vi i weka msimamo hapa[emoji23][emoji23]
Alafu ndio uje na hoja yako hii unayotaka kujaribu kutuaminisha...
Wesley Fofana €80.4m
Marc Cucurella €65.3m
Raheem Sterling €56.2m
Kalidou Koulibaly €38m
Carney Chukwuemeka €18m
Pierre-Emerick €12m
Gabriel Slonina €9.1m
Denis Zakaria Loan
Nimekupatia LIKE kishingo upande maana huwa unazimwaga sana kama "Raraa Reree" sababu Arse8 nawatakia kila la heri katika mbio za kubeba ubingwa mpya wa EPL 2022/2023.Saka today[emoji16][emoji16]View attachment 2506158