Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Goli la Tarkowski
Doucoure kamfanyia umafia Saliba
Kona kama tatu hivi Saliba amekuwa akiwanyima Everton goli
Doucoure baada ya kugundua hilo akamlia radar Saliba alimbana hata kabla kona haijapigwa na kutengeneza nafasi kwa Tarkowski
Yaani hata kama ningekuwa mimi ningefunga hilo goli
BIG UP kwa Doucoure
 
Tayari
Screenshot_20230204_180921_All%20Goals.jpg
 
Ukijaribu kuingia katika fikra za arteta utakutana na haya swali ambayo muda mwingi anajiuliza
HOW AM GONNA FINISH THIS RACE?
What if partey ......

Why jorginho?
Jorginho akiwa kama backup ya partey, its a big deal
Hatuwezi kumtegemea Lokonga just in case partey...

Jorginho alikua bora, yupo bora na habari njema zaidi atakua bora zaidi katika mikono ya mike arteta. Swali ni HOW?

[emoji117]kwanza kabisa jorginho ni profile za arteta, ndio maana nilipata kusema hatuwezi kuwa na Onana mvunja kuni

[emoji117]Tactically copy anazopiga arteta na jinsi alivyokua muumini wa total football, jorginho ni mtu sahihi
Domination of midfielder, killer pass, pressure resistance

Tunamuhitaji jorginho kama amana hospital inavyohitaji ambulance ya dharula, for emergency

Kama unaikumbuka barca ile ya messi, iniesta, xavi.
Basi Kuna mtu alikua anaitwa busquet ndio alikua anawafanyia kazi zote chafu technically. Lazima uwe na jicho la mpira ndio utaliona hili
Saka, martinel, Trossad, Nketiah, Xhaka, Jesus kule mbele wanamuhitaji sana mtu dizain hii ili kuweza kufanikisha mikimbio yao

Tunamuhitaji jorginho kama Ally mpemba anavyomuhitaji master UMUGHAKA katika kumfanyia kazi chafu za kafara

Ukiachana na jorginho kuwa backup ya partey, pia tunaweza kumuona game nyingi tu ambazo hazitakua na pressure kubwa
Kama hizi za astonvila, Nottingham forest, Wolverhampton...
Au baada ya kupata matokeo dakika ya 65+ partey anampisha jorginho

Jorginho kwa mara ya kwanza anaenda kunyanyua EPL
[emoji120]
For short term plan, its a big deal[emoji91]

Arsenal NDOO
Haaland kiatu

View attachment 2505317
onana mvunja kuni leo kawavunja moyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom