Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Balogun scored a second goal for Reims! He is now level on goals in Ligue 1 with Mbappe.

Hugo Eketike alifunga goli 10 tu ligue 1 , PSG wakamnunua kwa €35-40m


Balogun ikifika summer naona tukimuuza Bei Nzuri, akirudi Arsenal nafasi Ni finyu Kuna Jesus ,Nketiah na Trossard
 
Mkataba wake unaisha 2025

Hawezi kukubali asubiri awe 3rd choice kwa Jesus na Eddie

Ni Bora auzwe Summer kwa Bei Nzuri na kuweka Buy back option
IMG_20230201_223107.jpg
 
A lot of credit needs to be given to Arteta for how he's handled Balogun.

Player looked set to leave, club priced Sheffield and Co out of him by not letting him go for pittance as we've done with Jeff, etc. In the past.

Now he's convinced him he's part of the plans.
 
Umemjibu vzr Sana, tatizo sijui huwezi kumuelewa huyu jamaa anafanya utani au hajui

Mstari unaomtenganisha na utani na kutojua Ni mwembamba Sana .
Tatizo lenu nyinyi linapokuja suala la usajili hua hampo serious, halafu mna masharti magumu kama waganga wa kienyeji.
Mudryck mmemkosa kwa masharti ya kipuuzi, sharti la adds on kulipwa eti mpaka Mudryck apate tuzo ya Ballon d'Or.
Yaani mchezaji wa Arsenal apate tuzo ya Ballon d'Or hivi mpo sawa kweli nyie?
Usikute hata Brighton waliambiwa miongoni mwa masharti ya adds on kwa Caicedo ni Arsenyani kushinda kombe la Uefa msimu ujao, wakajionea upuuzi na kuwajibu tu shortcut Caicedo hauzwi.
 
Tatizo lenu nyinyi linapokuja suala la usajili hampo serious, halafu mna masharti magumu kama waganga wa kienyeji.
Mudryck mmemkosa kwa masharti ya kipuuzi, sharti la adds on kulipwa eti mpaka Mudryck apate tuzo ya Ballon d'Or.
Yaani mchezaji wa Arsenal apate tuzo ya Ballon d'Or hivi mpo sawa kweli nyie?
Usikute hata Brighton waliambiwa miongoni mwa masharti ya adds on kwa Caicedo ni Arsenyani kushinda kombe la Uefa msimu ujao, wakajionea upuuzi na kuwajibu tu shortcut Caicedo hauzwi.
Mngeenda nyie kumnunua
 
Folarin Balogun


Bwana Mdogo Anatupa Maswali Magumu Sana Huko Ufaransa Anafunga Tu Kashapiga Hat Trick Mpaka Sasa Mechi Inaendelea Kwa Sasa Analingana Magoli Na Mbappe Na Neymar Yale Yale Ya Saliba Akirudi Ameiva.

Halafu Kuna Mtu Huko Striker Wake Ni Werghost,Nunez, Havertz
 
Kuna mchezaji anaitwa James Rodriguez, mColombia, akasumbua sana kwenye WC watu wakasema kifaa hichi hapa.

Kikaenda Bayern kikaenda Madrid ila hakikung'aa kama kilivyong'aa WC. Na ile volley yake 🔥

Anyway, jana nilikua mtandao fulani hivi nikakuta wanamsifia Enzo na clip waliyoweka kwa 70% ilikua inatokea kombe la dunia la Qatar ambapo hiyo clip inaonyesha akipiga long balls tu na moja akifanya body faint.

Bora kaja EPL ili wote tuone.
Wewe umemjua Enzo kwenye kombe la dunia ndio maana unakoment hovyo hujamwangalia akiwa na Benfica nini alikuwa anafanya UEFA champions league
 
Back
Top Bottom