Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivyo ndivyo watu hubishana mkuu kwa maana km kuna aliye tofauti na wewe atakuja na mtizamo wake kisha mwenye strong reason ataonekana amechambua vzr na wengine watajifunza.

Mfano mimi ninachokiona kwa Jorginho ni kutokuwa na uwezo ku-cover eneo kubwa hivyo anapojisahu tu kidogo anajikuta yuko vulnerable kwenye eneo lake lkn ebu chukulia kukiwa na mtu mwingine wa kumsaidia km Zinchenko au wakicheza wote wawili na partey km double pivot?

Kitu ulichokisema ambacho mimi nakubaliana na wewe ni kwamba hatujawahi kuwa na bahati na wachezaji wanaotoka Chelsea kwahiyo hata kwa Jorginho inaweza kuwa same story
Jamaa hawezi cover eneo kubwa kwakua yupo slow, now kuna viungo at their peak walikua slow na mambo yanaenda mfano Busquet alichokosa kwenye speed akacompensate katika technical ability na skills na kwakua timu yao inafanya sana possession hii trait haikuwahi mfanya aonekane mzigo.
 
Arsenyani mnatakiwa mchukue darasa hapa, tuition Chelsea.

View attachment 2502001

Endeleeni na wachezaji wenu wa mafungu, watu wanavunja vibubu. Mudryk, Enzo. Kuwa club kubwa siyo kuongoza ligi, kuna msimu Leicester pia alikuwa bingwa.
Leicester alikuwa bingwa akiwa na wachezaji wenye viwango kama Mahrez (alikuwa mchezaji bora wa msimu) Ngolo Kante, Vard, Schemical
 
Chelsea the big Football Club (FC) and it doesn't matter what the current situations it is passing through hence every big FC has already been experienced in long term investment with what we call it "Transition period"
Screenshot_2023-02-01-06-34-53-45_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-01-06-35-19-23_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-01-06-35-33-88_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
 
Arsenyani mnatakiwa mchukue darasa hapa, tuition Chelsea.

View attachment 2502001

Endeleeni na wachezaji wenu wa mafungu, watu wanavunja vibubu. Mudryk, Enzo. Kuwa club kubwa siyo kuongoza ligi, kuna msimu Leicester pia alikuwa bingwa.
Achen mdomo aisee, huyo Marcel ana miaka 28 lakin alikuwa anakula bench na Hana namba ,

Tayari mmeshaanza mdomo
 
Nyie mbumbu fc. Kuongoza ligi sio kuchukua kombe, mmesikia.
Nuksi itaanza mwezi huu.
 
Kuna mchezaji anaitwa James Rodriguez, mColombia, akasumbua sana kwenye WC watu wakasema kifaa hichi hapa.

Kikaenda Bayern kikaenda Madrid ila hakikung'aa kama kilivyong'aa WC. Na ile volley yake 🔥

Anyway, jana nilikua mtandao fulani hivi nikakuta wanamsifia Enzo na clip waliyoweka kwa 70% ilikua inatokea kombe la dunia la Qatar ambapo hiyo clip inaonyesha akipiga long balls tu na moja akifanya body faint.

Bora kaja EPL ili wote tuone.
 
Kuna mchezaji anaitwa James Rodriguez, mColombia, akasumbua sana kwenye WC watu wakasema kifaa hichi hapa.

Kikaenda Bayern kikaenda Madrid ila hakikung'aa kama kilivyong'aa WC. Na ile volley yake

Ila Enzo yupo vzr Sana , Technician wa mpira , Labda Viungo wa pemben atakaocheza nao wamuangushe

Enzo anacheza juu ya back 4 anakupa Defending , long balls ,huwezi kumpress kizembe

Ameanza kutajwa before world cup , World cup imekuja kumtambulisha rasmi
 
JORGINHO FRELLO

Tangu alipojiunga na Chelsea msimu wa 2018-19, Jorge Luiz frello (Jorginho) amefunga mabao ya penati (19) kwenye premier league, mengi zaiidi ya mchezaji mwengine yoyote kuanzia kipindi hicho hadi hivi sasa.

mabao mengi ya penati kwenye premier league tangu 2018-19 hadi hivi sasa.

Jorginho Frello (19)
Mohamed Salah (17)
Harry Kane (16)
Jamie Vardy (16)
Bruno Fernandes (14)

takwimu za Jorginho kwenye premier league tangu msimu wa 2018-19 alipojiunga na Chelsea.

michezo 143
mabao 21
pasi za mabao 5
mabao 19 (penati)
mabao 21 yote (mguu wa kulia)
nafasi kubwa alizotengeneza 21
nafasi kubwa alizokosa 4
jumla ya mashuti 66 (yaliyolenga goli 32)

Jorginho msimu kwenye premier league

michezo 15
ameanza michezo 12
dakika 1405
mabao 2
pasi za mabao 0
jumla ya mashuti 5 (yaliyolenga goli 3)
jumla ya pasi 893 (pasi sahihi 764)
kiwango cha kukamilika kwa pasi 86%

√ ana wastani wa kupiga pasi sahihi 50 kwenye kila mechi

Arsenal wamekamilisha usajili wa Kiungo huyu mwenye umri wa miaka 31 kutoka Chelsea kwa ada ya £10 na nyongeza ya £2.
 
Ila Enzo yupo vzr Sana , Technician wa mpira , Labda Viungo wa pemben atakaocheza nao wamuangushe

Enzo anacheza juu ya back 4 anakupa Defending , long balls ,huwezi kumpress kizembe

Ameanza kutajwa before world cup , World cup imekuja kumtambulisha rasmi
Kama hivyo basi Chelsea imebakisha kufanya project yao imaterialize tu. On paper wana kila kitu tayari
 
NIMEIPENDA SANA HII , HUWEZI KUMTUPA MTU KISA KAUMIA

#FC will trigger Mohamed Elneny's option for a one year contract extension despite Jorginho transfer. Popular member of the dressing room and highly valued for his experience and professionalism.

View attachment 2501976
Ndio maana wengi wakitoka arsenal huwa wanajuta
Na ata wakiwa katika timu zingine lakini anakua bado na upendo mkubwa kwa arsenal
Eg Sanchez
 
Kuna mchezaji anaitwa James Rodriguez, mColombia, akasumbua sana kwenye WC watu wakasema kifaa hichi hapa.

Kikaenda Bayern kikaenda Madrid ila hakikung'aa kama kilivyong'aa WC. Na ile volley yake

Anyway, jana nilikua mtandao fulani hivi nikakuta wanamsifia Enzo na clip waliyoweka kwa 70% ilikua inatokea kombe la dunia la Qatar ambapo hiyo clip inaonyesha akipiga long balls tu na moja akifanya body faint.

Bora kaja EPL ili wote tuone.
Kama umeanza kumfatilia Enzo kupitia world cup sawa, ila kama unafatilia league zingine eithee kuangalia hata habar, or champions league kama ulikuwa unafatilia hata game yao vs Benfica utakuwa ushakutana na jina la Enzo
 
Ndio maana wengi wakitoka arsenal huwa wanajuta
Na ata wakiwa katika timu zingine lakini anakua bado na upendo mkubwa kwa arsenal
Eg Sanchez
Nimeipenda hiyo, Arteta anampenda Sana Elneny

Elneny mwaka Jana alisema yupo tayari kubaki Arsenal Hata Bure na Hata asipopewa Nafasi sawa akipewa atatumika kwa moyo wote

Sasa kaumia miezi 6-9, na Mkataba unakuwa umeisha, kwa Loyality yake kwa klabu ,soon watatangaza ku trigger mwaka mmoja zaidi.

Fans wengi Wana mu underrate Elneny ,ila Arteta anamuamini Sana ,
 
Kama umeanza kumfatilia Enzo kupitia world cup sawa, ila kama unafatilia league zingine eithee kuangalia hata habar, or champions league kama ulikuwa unafatilia hata game yao vs Benfica utakuwa ushakutana na jina la Enzo
Nilikuwa World cup nashabikia Argentina , walipopigwa game ya Kwanza , nikaacha kuwaangalia ,game ya 2 akawekwa Enzo, halafu De Paul akawa anakabia juu

Aisee Moto uliwaka

Kuna mechi na uholanzi kulikuwa na mjadala itakuwaje kwenye Timu yako uwe na FDJ na Enzo wote Wana sifa karibu zinafanana ,

Enzo nilikuja kumkubali mech na France , Humpress kizembe

Binafsi napenda Viungo wanaocheza Kama Enzo, Partey , Caicedo juu ya back 4 ,siwapend Viungo Kama De Paul ,na wanaofanania hivo wanajua kukaba tu wakipata mpira hawajui waufanyaje
 
Kama umeanza kumfatilia Enzo kupitia world cup sawa, ila kama unafatilia league zingine eithee kuangalia hata habar, or champions league kama ulikuwa unafatilia hata game yao vs Benfica utakuwa ushakutana na jina la Enzo
Nimeeleweshwa chief. Usikasirike
 
Back
Top Bottom