Yaan ukisikia chelsea na waingereza wanavyomzungumzia lampard na kama hukumuona akicheza basi unapata picha ya mido moja ya maana sana.Ila kama ulimuoana akicheza basi unabaki kunyamaza tu.English media hawajawahi kushindwa jambo lao.
Tangu nimeanza kuangalia mpira kwa kuzingatia kwangu viungo wa kiingereza nao waheshimu sana ni paul scholes na jack wilshere.
Huyu wlishere alikuwa mwingereza mwenye akili mchanganyiko wa hispania na brazil.kama yasingekuwa majeruhi yaliyokatisha kipaji chake nawaambia waingereza wangempa mtaa kabisa





Ila nawaambia lampard alikuwa kiungo wa kawaida mnooo,sema tu kitu cha kipekee anachowazidi viungo wengi ni ile spirit ya kupambana na physicality yake.
Nawaambia yule mbrazil ramiles na essien walikuwa miles away kulinganisha na jamaaa